Tafuta/Search This Blog

Friday, October 31, 2008

Abel na Josephine wanang'aa!!

Hatimaye yule senior Bachelor wa Tanzania Meteorological Agency intake ya 2002 ndugu Abel Nyamenda alichukua uamuzi wa kujisogezea kipenzi chake karibu naye kwa kufunga ndoa takatifu na dada Josephine Mwakang'ata huko Mbeya tarehe 4 mwezi wa 10 mwaka huu.


Mr&Mrs Nyamenda!!

Msafara katika mchuma wa ukweli!!

Mapozi ya Mrs Nyamenda haya!!

Mmmmhhhhhh!!! Sina nyongeza, jionee mwenyewe!!!!!





Mashahidi



Sisi Shalom Broz tunawatakia Mr&Mrs Nyamenda maisha mema na ya baraka. Kuna ukweli ambao bado hatujauthibitisha lakini tunauamini kwamba mtu akioa milango yake ya mafanikio hufunguka zaidi!! Kazi kwako kaka Abel!!
Tunasubiri ubwabwa wa kaka Sanga.




Thursday, October 30, 2008

Enson wa Msuya Huyoooo. katika gradyation yake 25 October 2008

Call again please!!!! Lucktrizzier
Hey Rehema

Hey Luckytrizzier



Enson Msuya Huyooooooooooo Kimasomaso katika GRADUATION yake tar 25 October 2008.

Mama huyoo
Lucky and Simon


Chakula bora

Msosi





Stanley hakua nyuma



Matukio zaidi grad ya Enson

Baba Shedrack akipata utamu wa keki
Mpambe mwenyewe Daniel Mlawa akibugia li keki

Hedaya alitia timu



Keki yenyewe ndio hii sasa






Mhitimu naye kwa poziiii

Pats matukio mengine ya Graduation ya Enson Msuya

Waliokuepo ktk tafrija, aliyesimama ni Blandina
Rehema huyooooooo

Helen pia alikuepo



Abigail aalikepooo, Mjomba wa Enson Huyooo





Enheeee hapo ndipo patamu. Mkono kwa mkuu wa chuo kuonesha sasa umefuzu


Matukio zaidi ya Gradu ya Enson

May na Nuru wakitoa zawadi kwa Enson, Du ilipendeza kupita kiasi

Mawasiliano hayakubaki kwa nyuma, Km kawa, Xtrim, Jirushe na Chizika hadi ktk Graduu

Baba Mkubwa wa Enson Akimvisha En Taji la haja.

Grace katika harakati



Mgeni wa Heshima ktk Maandamano, Mr Samwel Malecela (Mb)
ambaye ndio Mkuu wa chuo OUT




Tunazidi kuwapa matukio ya Graduation Ya Enson Kama Maombi yanavyozidi kutufikia

Elkarim Samwel Akimkumbatia kwa furaha kaka Enson. Tunasikia alipiganaye buku pale Mkwawa Kasino, Pia yeye ni Mwanasharia
Maandalizi ya kupata shahada. dk chache kabla ya kwenda Kutunukiwa


Tanzania Assemblies of God....

Kutokana na kuchaguliwa kwa uongozi mpya wa juu kabisa wa kanisa, jumapili ya tar 26Oct ndio ilikuwa siku ya kuwaapisha viongozi wapya. Tumepata baadhi ya picha na tumeona tuwawekee mzione.



Sehemu ya Ukumbi wa kanisa la City Christian Center (TAG Upanga) Ambapo ndio shughuli ilifanyikia.


Aliyekuwa Askofu Mkuu wa TAG Rev R. Mwenisongole akimwapisha askofu mkuu mpya.

Askofu Mkuu mpya Rev. B.Mtokambali akiwa na mkewe pamoja na ndugu wa karibu waliokuja kusindikiza anapopokea majukumu mazito ya uongozi wa Taifa katika kanisa.






Picha hizi zoote ni kwa hisani ya mdau wetu, dada Firiana. Asante sana

Ujumbe kutoka kwa Mdau Firiana

Huu ndio ujumbe kutoka kwa dada Firiana "Mwafrica" ambaye ameuleta kwa mwandiko wake mwenyewe ili ueleweke zaidi!!

Asante sana Mdau wetu, SBP tunaangalia jinsi ya kukuzawadia ili iwe changamoto kwa wadada wengine kuwa wadau kama wewe.

Enson ze mwanasheria!


Hapa ameanza zoezi la kutoa ushahidi mahakamani!! Kazi fasta fasta!!
Mwanasheria akipongezwa na wafanyakazi kutoka katika sekta ya Afya, May(aliyevaa green dress wa Muhimbili) pamoja na Nuru, pia wa Muhimbili.


Hongerrrrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaa kaaaakaaa!!!!


Yaani!!




Ze Hug!



Wednesday, October 29, 2008

Mwanetu!!

Mtoto mikononi mwa mama!!
Inama basi kidoogo mpendwa!! Dada Lacky akimvesha nishani iliyotukuka ya uadilifu chuoni!!

unashangaa nini sasa??




Prisca(wa mwisho kushoto) pamoja na dada yake Mary(wa mwisho kulia) pia walikuwepo!!



Jukwaa



kaka yupo busy kuchukua oda za Shalom Broz Productions!




Tuesday, October 28, 2008

ENSON HUYOOOOOOOOOOOOOOO

Hatimaye ile siku tuliyoiongelea saaana ya kuhitimu kwa mmoja kati ya wamiliki wa Shalom Broz Production ilifika na jum,amosi ilopita kaka yetu alikula nondo zake kuvaa joho hadharani. Amehitimu shahada ya Sheria (hata Sharia pia anaweza) katika mjengo wa Open University of Tanzania pale Kinondoni Dar es salaam.


hapa anaonekana kabisa kwamba haamini macho yake kwamba hatimaye amelivaa hilo joho baada ya kujipimia kwa karibu miaka mitano!!
Mama mdogo Shangwe akiwa na kijana wake, "Hongera mwanangu"
Usione kama kijana amerembua...jua kali hajazoea. Amezoea fullu kipupwe kwenye ofisi za SBP




Dada Erica akimvisha taji, duh mizawadi kibao yaani!! Kwa pembeni hapo kuna Bajaj ya ofisi. Najua wengi mlifikiria ni pikipiki ya polisi... yetu hiyo!! Kaka Solo kwa pembeni kiduuchu.



Mh.. Rafiki wa Enson Luckytrizzier....!!!! Pia alikuwepo!! Enson naye kwa aibu....!!!






Haya safari ya home sasa inaanza!! Sheria na Sharia ishachukuliwa...kazi inatafutwa. Kwenye hii picha tena inaonyesha jamaa anafaa sana kuwa Kadhi!!
Bodi ya wamiliki wa Shalom Broz Productions katika ofisi zoote yaani Arusha na Dar tuna mshukuru Mungu sana kwa ajili ya siku hii na tunawashukuru wooote waliofanikisha kwa namna yeyote ile kufikia siku hii. Shukrani za Pekee kwa familia zetu yaani familia ya Solomon Msuya, Muheza pamoja na familia ya Pastor Lwendo, Dar es salaam. Mungu awabariki sanaaa na kuwakumbuka katika yoote mtakayoweka mikono yenu kuyafanya.
Picha nyingine zitaendelea kuwajia!!



KIBO PALACE

Nilipata nafasi ya kutembelea Kibo palace Arusha jumapili iliyopita. Its a nice place kwa kweli and here are some pictures
Swimming pool

Kaka Imma Ng'andu.



Kaka Gee.
Wakati mwingine jamani jitahidini kujipa raha mara moja moja...