Tafuta/Search This Blog

Wednesday, December 31, 2008

HAPPY NEW YEAR!!

Uongozi wa Shalom Broz Productions unapenda kuwatakia wapendwa wooote mnaotufuatilia, heri ya Mwaka Mpya wa 2009!
Tunamwomba Mungu awajalieni nyote Afya njema na mafanikio katika mwaka wa 2009.
Tafadhali endelea kufuatilia blogu yetu.


Ubarikiwe!

Monday, December 22, 2008

Ilikua Siku yao waliopendana.

Bibi na Bwana Arusi wadogo
Ezekiel na Emiliana. Du! Ezekiel ameng'ang'ania mkono si mchezo.


Baada ya chiaz tunyweshane. Ktk mapozi hawa wamefuzu. Mungu awabariki.


mambo ya maakuli.


unaweza kudhani ni Wingereza. Vijana wadogo wakiwa ndani ya suit.





Friday, December 19, 2008

Tangi J anameremeta!!


Tangi J akiwa na mpambe wake Joel.


Pole kwa kazi ngumu kaka!!

Cheers!! Kamau akiwa na mama na Baba!!








Baada ya miaka ya asignments, tests, mitihani, kukata kiu, GKB nk hatimaye kaka tangi J ambaye ni mmoja kati ya wamiliki wa Blogu hii, alibarikiwa kumaliza chuo Kikuu cha Mzumbe na kutunukiwa Shahada ya kwanza ya menejimenti ya Rasilimali watu!

Kwa msaada wa Mungu kijana aliweza kutoka mzumbe akiwa salama na wazazi waliamua kumwandalia sherehe ndogo ya kumshukuru Mungu hapo nyumbani kwao.


SBP tunamtakia mafanikio katika maisha yake ya huku mtaani!

Thursday, December 18, 2008

HEPI BESDEI UHU!!




stelingi mwenyewe katika vazi la kutokea!




Kupuliza mshumaa muhimu!!




Nani kama mama!!




Duh!



Asante besti!




baba mdogo!

Miaka mitatu sasa imetimia tangu kijana Gibson E. Msuya a.k.a UHU aanze libeneke la maisha humu duniani! Kijana huyu alizaliwa tarehe 9Dec2005.


Wazazi wake walimwandalia sherehe ya kumshukuru Mungu huko home kwao siku za karibuni.

Tuesday, December 16, 2008

Hata kama hukuja ktk Gradu, unaweza kujilia kakeki hapo.

Sio Kombolela, ni pozi la picha. Angel ktk pozi


Good Boy


Washamba pia walihudhuria Sherehe hiyo. Ok Huyu ni reporter wa Shalom Broz Productions

Angel..

Saturday, December 13, 2008

Tuesday, December 9, 2008


MWENYEWE MWENYEWE...

ANGEL MINJA

shem pia alikuwepo.

HAWA ALISKULI NAO CLASS MOJA



ILIKUWA SIKU YA CHEREKO CHEREKO KWA DADA YETU TAREHE 29 NOVEMBER 2008 KATIKA MAHAFALI, CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.(UDSM)




Sunday, December 7, 2008

Arusha mpaka Moro

Arusha kulikuwa na baridi sana na ukungu wakati ninaanza safari.



Upinde wa mvua kama unavyoonekana katika maeneo ya KIA junction na Maji ya Chai.


Between Same and Hedaru.

Mazinde Sisal plantation


Thame




Msamvu, Morogoro.




Nilipata safari fupi ya Morogoro siku ya alhamisi tar4 Dec kwa ajili ya Graduation ya bwana mdogo Josh kule Morogoro vijijini, Mzumbe. hayo ni baadhi ya mapicha niliyofanikiwa kuyapiga njiani!
Picha za Graduation zitawajia siku za karibuni kutoka katika ofisi ya kuu ya Dar.
Kaka Gee, Arusha.

Thursday, December 4, 2008