Tafuta/Search This Blog

Thursday, July 30, 2009

Who do you trust?




A group of scientists and botanists were exploring remote regions of the Alps in search of new species of flowers. One day they noticed through binoculars a flower of such rarity and beauty that its value to science was incalculable. But it lay deep in a ravine with cliffs on both sides. To get the flower someone had to be lowered over the cliff on a rope.A curious young boy was watching nearby, and the scientists told him they would pay him well if he would agree to be lowered over the cliff to retrieve the flower below.The boy took one long look down the steep, dizzy depths and said, “I’ll be back in a minute.” A short time later he returned, followed by a gray-haired man. Approaching the botanist, the boy said, “I’ll go over that cliff and get that flower for you if this man holds the rope. He’s my dad.”His whole assurance was based in the fact that his father was trustworthy.
I have decided to trust in GOD!!


-Hope FM.

Tuesday, July 28, 2009

Calvary Temple Development Complex!!

Kanisa letu la Calvary hapa Arusha lipo katika project kubwa sana ya ujenzi wa jengo jipya la kanisa. Project hiyo iliyoanza mwishoni mwa mwaka juzi hatimaye wiki hii msingi umeanza kuchimbwa. lakini kabla ya msingi ilibidi kwenda katika eneo la ujenzi na kuliweka wakfu kwa Bwana kwa kufanya maombi mahali hapo na kuombea hata udongo utakaobeba jengo hilo. Ibada hiyo ya kuluiombea jengo letu hilo ilifanyika jumapili iliyopita ya tarehe 26 Jul 2009. Hizi ni baadhi ya picha.


Rev. W .B Kimaro akisoma Neno la Mungu katika ibada hiyo.Eneo la ujenzi


Mzee wa kanisa, ndg Kiondo akichimba udongo katika eneo la ujenzi ili uwekwe wakfu na kufungulia rasmi kazi ya ujenzi wa Calvary temple Development Complex.


Mchungaji Wambura ambaye ni mhasibu mkuu wa TAG akiomba katika eneo la ujenzi.





Wazee wa kanisa wakiwa wamewakilisha washirika wote kwa kuushika udongo na kuuombea.




Vijana pia walikuwepo ambao ndio hasa watakao kuwa viongozi na washirika katika jengo hilo jipya. Kulia ni Victor wa Makere na kushoto ni Ivan.



Mshirika Tolla G.




Mshirika mwingine Robert Ngowi.




Maombi katika eneo la ujenzi.
kama ilifikiria hii project ndogo, hebu ona huu mchoro wa jengo hilo litakapo kamilika
*
*
5
*
4
*
3
*
2
*
1
*
*
*
0

That is CALVARY TEMPLE DEVELOPMENT COMPLEX!!

Monday, July 27, 2009

Arusha sio tambarare...

Mjengo mpya! Nimekuta leo mafundi wakiwa wanatoa gift paper katika mjengo huu mpya!!



Mijengo mipya kibao na picha zaidi zitaendelea kuwajia!!

From Kilimanjaro with Love

Air Tanzania Dash-8 at the apron.

Kilimanjaro tower.

Ndege huyu anaitwa ndege joni. Sijui sababu yeyote ya jina hili. Hapa ni katika bustani za uwanjani. Huyu ndege anajua time table ya chakula katika mgahawa uliopo katika bustani hii.


Kaka Gee akipozi kupiga picha lakini huyo ndege joni naye akaweka pozi kali zaidi, ana masifa huyo!!

Wednesday, July 22, 2009

Amphibious tour vehicle!!

Kushangaa sio dhambi!!


Abiria wanapanda, (Boarding)


Safari ya nchi kavu inaanza


Safari inaendelea na bahari inaonekana kwa mbali, gari linaanza kutamani maji, linayafuata..


Dumbwii, kwenye maji na safari inaendelea!

Safari imekwisha na gari linarejea nchi kavu.



Hili sijui niliite gari au boti linapatikana huko San Diego. Kama ambavyo umeona linaweza kutembea kwenye nchi kavu na hata likiingia kwenye maji safari inaendelea. Natamani lingekuja Tanzania na hasa Dar es Salaam. Lazima kungekuwa na route ya Gongo La mboto - Kigamboni!!
Dada Subi upo hapo???

Najua wajua ila nataka kukujuza zaidi...

Hebu ona hizi strange facts...

*The sentence "The quick brown fox jumps over a lazy dog." uses every letter of the alphabet!

*The only 15 letter word that can be spelled without repeating a letter is "uncopyrightable"!

*The electric chair was invented by a dentist!

*Camels have three eyelids to protect themselves from blowing sand!

*A hippo can open its mouth wide enough to fit a 4 foot tall child inside!

*A cockroach can live several weeks with its head cut off - it dies from starvation!

*The average person has over 1,460 dreams a year!

*One in every 4 Americans has appeared on television!

*Human thigh bones are stronger than concrete!

*Over 10,000 birds a year die from smashing into windows!

*Thomas Edison, lightbulb inventor, was afraid of the dark!

*During your lifetime, you'll eat about 60,000 pounds (27215.4 kg) of food, that's the weight of about 6 elephants!

*Dolphins sleep with one eye open!

*There are approximately fifty Bibles sold each minute across the world!

*In North Carolina, it is against the law for dogs and cats to fight.

Ukistaajabu ya Musa...

Baboons have been issued with ASBOs after breaking into car rooftop luggage boxes at a drive-through safari park.

The baboons had a field day with this case of clothes

A number of families visiting Knowsley Safari Park in Merseyside have had to watch helplessly as the cheeky monkeys disappear up the trees with their clothes.
The Anti-Social Baboon Orders had to be issued at the height of the holiday season and guests were advised to avoid the baboon enclosure.
Park general manager David Ross said: "Their technique involves the largest baboons jumping up and down on the box, flexing it until the lock bursts open, when the rest of the baboons pile in to see what they can find.



The perfect accessory

"Obviously, we're well used to them helping themselves to the odd wing mirror or wiper blade, but this has taken things to a whole new level.
"Let's face it, nobody wants to see a baboon running up a tree with their underwear.
"For this reason, we now issue a warning to all visitors with luggage boxes as a matter of course.
"Unfortunately though, we still get drivers who don't think it will happen to them and they decide to take a chance.
"That's why we recently staged a demonstration to show the reality of the risks drivers face.



The baboons carefully chose colours to suit them

"The baboons were into the luggage box on our car within minutes and absolute mayhem ensued.
"We will now be able to show photographs of this incident to visitors with cargo boxes who may be thinking of playing Russian roulette in the monkey jungle."
There are currently more than 140 baboons at Knowsley Safari Park and visitor surveys consistently show them to be the attraction's most popular exhibit.

Beautful Tanzania (3)


Our beautiful Mountain, Kilimanjaro, picha imepigwa jumamosi 18/07 nikiwa maeneo ya Soweto na muda ni kama 6:15pm.

Our beautiful land. Nimepiga kupitia kioo cha mbele cha bus. Beautiful young Tanzanians wanaonekana wanakwenda shule zamu ya mchana baada ya lunch nyumbani kwao.
Na mwishowe hii...
*
*
*


Our beautiful daladalas, you are free to do any thing while inside a daladala. Unaweza ukaona huyu mTZ akiwa amelala na miguu imetokezea nje katika dirisha na hii daladala ilikuwa mbele yangu tena katika mwendo tu wa ukweli...

I LOVE TANZANIA!

Monday, July 20, 2009

Safari ya mwisho ya Bertha R. Msuya.


Baada ya kufariki Dar es salaam, Mama yetu mkubwa/mdogo tarehe 13/07 hatimaye alizikwa tarehe 17/07 huko Kisanjuni Msangeni katika wilaya ya Mwanga mkoa wa Kilimanjaro. Zifuatazo ni baadhi ya picha za tukio hilo ambalo tunamshukuru Mungu lilikwisha salama kabisa.



As if she is just sleeping and will wake up later. Our aunt was so beautiful!


Grandpa and Uncle.


Mama zetu pamoja na watoto wa Marehemu wakifarijiana wakati wa ibada


Wa kwanza kuzaliwa katika familia ya Joseph Temba.


Wa pili, Uncle Samuel


Wa tatu, Mama Nasemba


Wa tano, mama Happy.


Wa sita, mama Frida

Wa saba, Mama mdogo Beatrice.

Wa nane, Mama mdogo Shangwe.

Kitinda mimba, Uncle Goodluck


Mtoto wa pili wa Marehemu, dada Paulina.
Kitinda mimba wa marehemu, Dada Angel.

Babu during funeral service.

Brothers, mkubwa na mdogo wakiwa wameshika shalom(camera) zao





Wachungaji wakiongoza ibada
Safari ya kwenda kuuhifadhi mwili, kaburini.









Mavimbini ulitoka na mavumbini utarudi...
Angel na Lina wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mama yao.
mama zetu wakiweka mashada kwenye kaburi la dada yao.
Angel na Lina

Familia katika kaburi.
kaka Star.
Enson wa SBP pamoja na dada zetu.

Namba 73 pia ilikuwepo!


mama Shama alikuwepo na hapa anajitahidi kupata taswira kwa ajili ya kumbukumbu.


Shalom Broz Productions kazini. Hii inaonyesha uzoefu. Multitasking
Na Mwisho kabisa
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
Tulikutana na huyu jamaa ambaye yeye alikuja msibani kwa sababu moja tuu.....KULA! Alikula chakula kingi mno kuliko ambavyo unaweza ukadhania, alimaliza sinia kama hizo anazotumia 2, ilibidi SBP ifanye mahojiano ya ghafla na kutambua kwamba jamaa ni maarufu sana na huwa hapitwi na hafala yeyote hapo kijijini.
Tumewakilisha!!