Tafuta/Search This Blog

Wednesday, February 25, 2009

Ingekuwa vipi???

Kama kaka Barry angekuwa na upara kama huu...
Wataalamu wa photoshop katika website ya wrth1000.com ndio wamemfanyia haya kaka Obama wa Kisumu, USA.

Barabarani...

Huwa naona hawa watu wa mabasi wana kazi kubwa sana!! Kuanzia wanaanza safari hadi wanamaliza wanakutana na vikwazo vingi sana kama hiki!! Kaazi kweli kweli!!

Hapo ni maeneo ya Sanawari jana mchana.

Monday, February 23, 2009

Marafiki!!

Endapo utapata nafasi ya kutulia na kutafakari marafiki ulio nao, utagundua kuwa una nafasi kubwa ya wewe kusimamia mambo yako mwenyewe.Nimeanza kwa kusema hivyo kwa sababu mara nyingine rafiki yako ndiye anayekuwa kikwazo cha mafanikio yako kwa kukurudisha nyuma fikra zako kimaendeleo.Rafiki huyo badala ya kukusaidia kimawazo, atakushawishi muende maeneo ya starehe mara nyingine unapotaka kufanya jambo hukukatisha tamaa kwamba hutafanikiwa na kukutolea mifano ya watu walioshindwa katika maisha yao.Ieleweke wazi kuwa kwenda katika maeneo ya starehe si vibaya, maadamu ujue unakwenda pale kwa malengo. Sasa basi kupitia marafiki zako, utaweza kugundua mambo wanayoyapenda na shughuli wanazopenda kuzifanya zinazofanana na za kwako....

Unaweza kusoma zaidi article hii na article nyingine zinazofanana na hii kwa kupitia kwenye blogu ya dada Lucy Ngowi au kwa kubofya hapa.

WWK's DAY - Calvary Temple Arusha.


Wanawake Watumishi wa Kristo (WWK) wakiwa katika mavazi yao rasmi meupe katika kuadhimisha siku yao inayofanyika mara moja kila mwaka.


Mchungaji W. Kimaro akiwa ametangulia mbele ya kwaya ya wamasai wakati wa sherehe hiyo.


Mary Mollel (solo Artist) akiperform wimbo wake.

Mzee wa mitambo Boniface akiwa na mdau wa Blog hii Raphael.



Kaka Gee akiwa na mdau mwingine baada ya Ibada.

Friday, February 20, 2009

Wednesday, February 18, 2009

The Dar Es Salaam CITY

Jiji la Dar linajengwa na linajengeka. Kwa wale ambao mko nje ya Dar au nje ya Tanzania tunawatumia picha recent za jiji letu kubwa na hasa mijengo ya ukweli inayochipua kila siku na kulipendezesha jiji hili.

Mlimani City kwa mbali.

Ujenzi unaendelea wa Tume ya mawasiliano along sam Nujoma road.

kivuko kipya, MV Magogoni.

Majengo yenye utata, Twin towers za benki kuu


Kilimanjaro Hotel






NSSF waterfront.




Wizara ya Maliasili, barabara ya Nyerere.

Tuesday, February 17, 2009

Interview with Rick Warren

In the interview by Paul Bradshaw with Rick Warren(Author, Purpose Driven Life), Rick said:

**People ask me, What is the purpose of life?

**And I respond: In a nutshell, life is preparation for eternity. We were not made to last forever, and God wants us to be with Him in Heaven.

** One day my heart is going to stop, and that will be the end of my body--but not the end of me.

**I may live 60 to 100 years on earth, but I am going to spend trillions ofyears in eternity. This is the warm-up act - the dress rehearsal. God wants us to practice on earth what we will do forever in eternity.

**We were made by God and for God, and until you figure that out, life isn'tgoing to make sense.

**Life is a series of problems: Either you are in one now, you're just coming out of one, or you're getting ready to go into another one.

**The reason for this is that God is more interested in your character thany our comfort; God is more interested in making your life holy than He is in making your life happy.

**We can be reasonably happy here on earth, but that's not the goal of life.The goal is to grow in character, in Christ likeness.

**This past year has been the greatest year of my life but also the toughest,with my wife, Kay, getting cancer.

**I used to think that life was hills and valleys - you go through a darktime, then you go to the mountain top, back and forth. I don't believe that anymore.

**Rather than life being hills and valleys, I believe that it's kind of liketwo rails on a railroad track, and at all times you have something good and something bad in your life.

**No matter how good things are in your life, there is always something bad that needs to be worked on.

**And no matter how bad things are in your life, there is always something good you can thank God for.

**You can focus on your purposes, or you can focus on your problems:

**If you focus on your problems, you're going into self-centeredness, which is my problem, my issues, my pain.' But one of the easiest ways to get rid of pain is to get your focus off yourself and onto God and others.

**We discovered quickly that in spite of the prayers of hundreds of thousandsof people, God was not going to heal Kay or make it easy for her- It has been very difficult for her, and yet God has strengthened her character,given her a ministry of helping other people, given her a testimony, drawn her closer to Him and to people.

**You have to learn to deal with both the good and the bad of life.

**Actually, sometimes learning to deal with the good is harder. For instance,this past year, all of a sudden, when the book sold 15 million copies, it made me instantly very wealthy..

**It also brought a lot of notoriety that I had never had to deal with before. I don't think God gives you money or notoriety for your own ego or for you to live a life of ease.

**So I began to ask God what He wanted me to do with this money, notoriety and influence. He gave me two different passages that helped me decide what to do, II Corinthians 9 and Psalm 72.

**First, in spite of all the money coming in, we would not change our lifestyle one bit. We made no major purchases.

**Second, about midway through last year, I stopped taking a salary from the church.

**Third, we set up foundations to fund an initiative we call The Peace Planto plant churches, equip leaders, assist the poor, care for the sick, and educate the next generation.

**Fourth, I added up all that the church had paid me in the 24 years since I started the church, and I gave it all back. It was liberating to be able to serve God for free.

**We need to ask ourselves: Am I going to live for possessions? Popularity?

**Am I going to be driven by pressures? Guilt? Bitterness? Materialism? Or amI going to be driven by God's purposes (for my life)?

**When I get up in the morning, I sit on the side of my bed and say, God, if I don't get anything else done today, I want to know You more and love You better God didn't put me on earth just to fulfill a to-do list. He's more interested in what I am than what I do..

**That's why we're called human beings, not human doings.

*** *** *** *** *** *** *** *** *** *** *** *** *** *** *** *** *** *** ***

Hii ni msg kali kati ya nyingi sana nilizowahi kusoma. Kama umeisoma juu juu, tafadhali uirudie tena taratibu ukiwa umetulia, for sure Kuna kitu utakipata ambacho kitabadilisha maisha yako ndugu yangu.

Baraka zikae nanyi nyoote!!

Mambo ya Halima/ Vanessa. Kitchen Party ya kufana 15/02/2009

Kitchen Party Hall, pale Mburahati. hapa Halima/Vanessa bado hajawasili ndani ya ukumbi
Pamoja na mpambe wake, wamependeza kupita kawaida.Vanessa ktk pozi

Wazazi wa Halima/Vanessa


Shukurani.
"Napenda kuwashukuru wazazi wangu kwa kunitunza hata sasa nakwenda kunza maisha na Mume wangu mpendwa. Asanteni wooooote mliohudhuria."










Mysterious Tree

unaweza kujaribu kuwaza mti huu unapatikana wapi hapa Tanzania?

Monday, February 16, 2009

Tunaomba Radhi!!

Tumekuwa kimya kwa muda wa kama wiki 2 ivi kutokana na kuwa na mkutano wa mwaka wa wamiliki wa SBP. Hata hivyo tunaomba radhi kwa kuwa kimya na tunawwahidi kuleta mambo mengi mazuri ikiwa ni matunda ya mkutano huo wa mwaka.

Tunawapenda sana!!

-Enson, Josh, Godlove.