Tafuta/Search This Blog

Friday, August 28, 2009

Arusha tena!

Kama kawaida, Arusha, A town, A city............................

Kona Nairobi.


Shoprite





Kilombero Market








PPF House.





Post office


View from Stand ya mkoa



From Phillips to Impala in a rainy, cold morning wiki hii.

Ze Kiingeredha hia endi zea

Kwa taarifa yako, Kiingereza ni JANGA LA KITAIFA likiwa ni janga linalofuatana kwa karibu sana na gonjwa la UKIMWI hapa Tanzania. Wengi wetu lugha hii imekuwa ngumu sana ikiwemo na mimi (ndio maana hata posts nyingi za blog hii zinakujia kwa kiswahili). Lkini jana nimeingia kwenye restaurant moja ya heshima sana nikakutana na MENYU ya kiingereza yani ikabidi tu nifanye ustarabu wa kuwashirikisheni wapendwa ili muone hali ilivyo tete.


Kama baada ya kuangalia picha hizi hujagundua tatizo fahamu kuwa na wewe ni muathirika na umechelewa kupata tiba! Pole.
Tupigie simu tukusaidie kama unajali maisha yako!!

New camera for ISD

Idara ya habari na maelezo (ISD) ya Calvary Temple Arusha hatimaye tulipata Video Camera mpya kwa ajili ya matumizi ya kiidara na hasa kurekodi ibada za kanisani. Tuna mshukuru Mngu sana kwa kuipta Camera hii kwani tunaamini itaongeza sana ufanisi wa idara.


Kaka Oscar akioperate camera hiyo jumapili iliyopita kwa mara ya kwanza kabisa baada ya kutolea kwenye box.



NB: ISD ni Information Sharing Department.


Kaka Gee pia ni member wa idara hii.

Monday, August 24, 2009

Humphrey na Evelyne








kaka Humphrey na dada Evelyne wamefanikiwa kuuaga rasmi ukapera jumamosi ya tarehe 22 Aug. Ndoa iliyofungwa katika kanisa la Calvary Temple Arusha.

SBP tunawatakia maisha mema ya ndoa na baraka kibao za Mungu!!



Picha zinajieleza!!

Tuesday, August 18, 2009

Ukimwona huyu ndani ya basi....

...akiwa amevaa kofia yake, na ukaona kondakta na dereva wamenunaa, Ujue mmekamatwa na basi litapitia kwenye kituo cha polisi kiduuuchu kwa ajili ya maelewano!!

Monday, August 17, 2009

ARUSHA

Kijenge chini.

Impala hotel.

Naaz restaurant mjini kati.


NBC.

Inajieleza, maeneo ya metropole.



mbele ya sekondari ya Bondeni.


Ukumbi wa Metropole.



kituo cha vifodi cha metropole.





Mbele ya soko kuu.





Stendi kuu





mianzini.
Hii ni kwa wadau wote wa Arusha na hasa wale ambao hawajakuwepo Arusha kwa muda mrefu sasa. Hii ndio Arusha inavyoonekana sasa.



Inakodishwa... ARUSI NA SEND OFF NA SHUGHULI NYIGINE

HUO MDUDE WENYEWE
Unaweza kujionea

Wanasema vijigari viduchu havifai tena.

Mitambo hii ndo inalipa



Mwe!
Kwa wakazi wa Dar es Salaam tu tutafute hapa 0784 587905 au tuma e mail ktk

Friday, August 14, 2009

Mwezi Mmoja sasa tokea Mama yetu Mpenzi atutoke...

Kumbukumbu ya mwezi mmoja Kifo cha Mama yetu Mpenzi Bertha. Bwana alitoa na Bwana amechukua, jina lake libarikiwe,

UFUKWE

Wikiendi ndio hiyo jamani, twende tukapumzike, Mimi maranyingine hupata muda kama huyu wa kukimbia ufukweni na kupunguza misongo ya wiki nzima. "Kaka Enson akiwa ufukwe wa Bahari ya Hindi."

Thursday, August 13, 2009

Martha huyo.... Usiku wa tar 12/8/2009

Huduma kama kawa
Hata hawa walikuepo

Ndugu wa karibu

Wazazi... Chakula kilikua kitamu sana.. unaweza ukajionea nyuso za watu zinaonesha niyasemayo.



Usiku wa Martha..... Ilikua Hot.....

Martha na mpambe wake ktk pozi
Martha Mwenyewe wa ukweli ukweli
Mambo ya Keki
Asante wazazi
Haya tena Bwn Arusi mtarajiwa na mpambe wake.