Tafuta/Search This Blog

Sunday, January 31, 2010

PV BADO IPO

Kwa wale mnaokifahamu kikundi hiki cha uimbaji na labda mnafikiria kwamba hakipo au kimekufa tunapenda kuwataarifu kwamba kikundi hiki kipo hai sana tu na picha hii walip[iga katika mojawapo ya performances zao za mwaka huu mwezi huu tena!
PV IPO!!!

Saturday, January 30, 2010

Hii ni haki kweli??

wanafunzi wajasiri wa Kibasila sec School wakipeana huduma ya kwanza baada ya kupigwa na Askari.

Mara zote waTanzania tumejisifia utulivu, amani umoja na upendo katika nchi yetu ya Demokrasia. Na tumekuwa na tabia ya kuficha baadhi ya maovu tunayoyatenda humu kwenye jamii yetu ili hii sifa njema isiharibike. Lakini kwa kweli kuna mambo ambayo yanakuwa too much na yanaudhi...na ajabu yake sasa ni kwamba mambo hayo yanaendelea kutendwa na viongozi wa jamii yetu wamekaa kimya kama vile kwa wao kuwajibika kutaharibu kitu flani! Hii inakera sana!!


Jana kulikuwa na habari kwamba wanafunzi "wakaidi" wa Kibasila Secondary School ya Dar es Salaam wamepambana na polisi baada ya kuamua kufunga barabara kwa kuwa mwenzao mmoja aligongwa na gari alipokuwa akitoka shule. Soma hapa. Sasa hapo ndipo hasira yangu inapoanzia. Watoto hawa hawa walilala barabarani mwaka jana kwa tatizo hili hili kwamba mwenzao mmoja aligongwa na gari hapo mbele ya shule na mkuu wa mkoa akaenda wakaongea na kukubaliana kwamba mahali pale patawekwa taa za kuongoza magari. Hadi linatokea tukio la jana hizo taa hazijawekwa na badala ya kusolve tatizo kwa kuweka taa mahali hapo ndio hao wanafunzi wakaitwa wakaidi na nguvu ya dola ikatumika dhidi yao. hata mtu asiye na akili atagundua kwamba hawa wanafunzi wanachodai ni haki yao na walipaswa kupigwa mabomu ya machozi ni mkuu wa mkoa na mkuu wa kikosi cha usalama barabarani.


Eneo lile limekuwa na ajali nyingi sana na ni karibu sana na kituo cha polisi, swali la kujiuliza ni kwa nini eneo lile haliwekwi taa za kuongoza magari?? Tatizo ni pesa au umeme?? au labda ni eneo maalum la kukamulia damu za waTanzania kwa ajili ya kafara ya Taifa???

Hivi mnategemea hawa wanafunzi mnaowapiga mabomu leo kwa sababu tu wanataka haki yao kesho mtawaambia waache ubinafsi wakiingia maofisini watawasikiliza?? Tunatengeneza Taifa la watu wenye uchungu na chuki kwa dola na uongozi kwa ujumla.


Ingekuwa ni taifa la watu makini nilitegemea kwamba mkuu wa mkoa wa Dar es salaam pamoja na viongozi wa kikosi cha usalama barabarani wakiongozwa na mkuu wao wangekwenda kuomba radhi kwa wanafunzi hawa majasiri na kuanza ujenzi wa taa za kuongozea magari eneo hili mara moja!!


Ninafahamu kwamba hawa wahusika hawasomi hii blog yetu lakini kama kuna mtu anawafahamu hebu uwafikishie ujumbe huu na uwaambie kwamba tumechoshwa na mambo yao ya ajabu wanayofanya. Na pia kuna siku hawa watanzania wanaowafanyia haya watachoka!!


Mungu ibariki na kuilinda Tanzania,

Poleni sana wanafunzi wa Kibasila Sec School na pia hongereni kwa kitendo cha ujasiri mlicho fanya!!
Picha ya Michuzi Blog.


Saturday, January 23, 2010

Strange Facts

It is estimated that millions of trees in the world are accidentally planted by squirrels who bury nuts and then forget where they hid them!

The average person laughs 13 times a day!

An earthquake on Dec. 16, 1811 caused parts of the Mississippi River to flow backwards!

There are approximately fifty Bibles sold each minute across the world!

A sneeze travels out your mouth at over 100 m.p.h.!

The average American/Canadian drinks about 600 sodas a year!

Like fingerprints, everyone's tongue print is different!

Bats always turn left when exiting a cave!

The longest recorded flight of a chicken is 13 seconds!

The sentence "The quick brown fox jumps over a lazy dog." uses every letter of the alphabet!

A cockroach can live several weeks with its head cut off - it dies from starvation!

The average person has over 1,460 dreams a year!

Haiti - This world is not our permanent home!!

Inawezekana umejiuliza mengi sana kuhusu Haiti, hata mimi nimekuwa na maswali mengi sana... Lakini bado Mungu ni wa upendo na ana mawazo mazuri tu anayomuwazia Mwanadamu.

Nimekutana na picha hizi kwenye Boston.com zikanivutia sana nikaona nikushirikishe.

A woman attends a mass after the earthquake in Port-au-Prince January 17, 2010.
A child victim of Haiti's earthquake poses in Port-au-Prince January 21, 2010.

Armante Cherisma cries in front of the body of her daughter, Fabienne, 15 years old, killed by a policeman while looting wall hangings in the Marthely Seiee street January 19, 2010 in Port-au-Prince, Haiti.

A man injured during last week's earthquake bites down on a piece of wood as he receives medical attention at a Centre Hospitalier De La Renaissance hospital in Port-au-Prince, Monday, Jan. 18, 2010.



A young Haitian man cries out in pain as his mother comforts him while being treated for a trauma wound on his arm at the Center Hospitalier de la Renaissance January 20, 2010 in Port-au-Prince, Haiti. Patients are being treated on the grounds of the hospital by Cuban and German doctors due to fears of the building's structural integrity.



A boy reacts as he undergoes hand surgery in a makeshift hospital after the earthquake in Port-au-Prince January 17, 2010.



Earthquake survivor Hotteline Lozama, 26, smiles as she was pulled out from the rubble by French aid group Secouristes Sans Frontieres in Port-au-Prince, Haiti, Tuesday, Jan. 19, 2010.



An injured child is pictured at a makeshift hospital in Port-au-Prince January 16, 2010.


Tears run down the cheeks of four-year-old Aikta as she waits for treatment at a makeshift hospital run by B-FAST (Belgian First Aid and Support Team) in a suburb of Port-au-Prince January 20, 2010.



A man grieves over the dead body of a relative who just passed away after being rescued from the rubble January 19, 2010 in Port-au-Prince, Haiti.



Elizabeth, an 18-day-old infant, rests in a tent hospital after spending eight days trapped in her home before being rescued during earthquake relief efforts January 20, 2010 in Jacmel, Haiti.



A young earthquake survivor poses as she rests inside her makeshift tent on a street in Port-au-Prince January 19, 2010.

Saturday, January 16, 2010

SBP in Zanzibar

SBP ilipata nafasi ya kutembelea zenji na kujionea mambo mbalimbali yaliyopo huko Zenji. Kuna vivutio vingi kwa kweli na kwa kuwa SBP inencourge utalii wa ndani, tunapenda kuwashauri waTanzania wenzetu na wageni pia kwenda kutembelea Zanzibar.


Hizi ni baadhi ya picha za huko.


Kanisa la Anglikana Zanzibar, eneo lililokuwa ni soko la watumwa.

Bustani ya Forodhani.

Watoto wakiwa wanacheza ufukweni, forodhani.

Mnazi wa ajabu


vyakula vya pwani.


wadudu au samaki?


Kamba kochi

Ze pwezazzz!
Baada ya misosi msisimko ni kulala katika upepo mwanana wa Zanzibar.

Wednesday, January 13, 2010

Mdau wa Blog yetu aliyepo Ukraine - Urusi David Msuya ametutumia hii

Twiga Nyani (Ajabu ya binti Rajabu azaa mtoto amwita Rajabu)

Naukwea Msandarusi....(Ati ni kweli..)

Endelea kufaidi uhondo wa Arusi ya Gee & Matty

Mimi John Nkanda namtoa Matilda Nkanda aolewe na Godlove Lwendo
Tayari Godlove kapewa......


Haya mfunue.....


Niyeyeeeeeeee!!!!!!! Godlove kwa kicheko!!!!!

Bado wanaogopana... Askofu Mhiche kwa mbali akikaribia kuunganisha wawili hawa..

Monday, January 11, 2010

Hebu Cheki ilivyokua ktk Maeneo tofauti ktk Arusi ya Kaka Gee

Salon ambapo kaka Gee alitengeneza sura., siunajua mambo ya Arusi tena!!!! (Frisha Salon)Salon ambapo Dada Matilda alifanya dressing, Ilikua Frisha Tabata Chang'ombe...
Gari ya wawili hawa.... Sidhani kama nyama ilikua ngumu hivyo!!!! Utamu tu tu unasumbua hapa. Elias na Mkewe
Babu na Bibi wa Gee....

Sunday, January 10, 2010

Picha zaidi za kumeremeta kwa kaka Gee na dada Matilda


Viapo vya ndoa.


Kwa pete hii ninakuchukua wewe Matilda.



Kwa pete hii ninakuchukua wewe Godlove


Nitakupenda na kukutunza.


Maombi kutoka kwa wachungaji, Mchungaji Titus Mkama na Askofu Magnus Mhiche.

signing of the contract

pamoja na wasindikizaji.

Thursday, January 7, 2010

Godlove Matilda Day 03 2010 Jan

Godlove Haamini
Keki hiyo

Tutawaletea matukio mengi zaidi. Tunaomba radhi kwa kuchelewa kuupload picha hizi. Tupo likizo na ofisi zimefungwa kwa sherehe za mwisho wa mwaka.


Tuesday, January 5, 2010

Mr and Mrs G. Lwendo

Hatimaye tarehe 3 January ilifika na arusi kati ya kaka Gee na dada Matilda ilifanyika. Picha za tukio hilo muhimu ni hizi na zitaendelea kupandishwa katika siku za karibuni.


Mr & Mrs Lwendo


Mrs Lwendo jr akimkabishi keki ya arusi Mrs Lwendo Snr.(mama mkwe)

Picha hizi ni kwa hisani ya Father Kidevu.