Tafuta/Search This Blog

Sunday, February 28, 2010

Kwa kiswahili zaidi.


Labda kwa kiingereza ingeandikwa NEW MVUMILIVU BAR...hahahahaaa nimependa sana matumizi ya kiswahili hapa! Nimekutana nayo pale SAME.

Safari.


Sio kila safari inayoanza huwa inafika mwisho. Kuna nyingine huwa zinaishia kama hapa.

Inakupasa umshukuru Mungu sana kila unapofika mwisho wa safari yako. Bila yeye hata wewe usingefika!!

Wednesday, February 24, 2010

Mapozi ya BATA hufanya watu wampende.



Picha hizi zimenifurahisha kwani Mama yangu hupenda BATA kwa Mapozi yao na jinsi wanavyoringa na kupenda watoto wao...

Unamfahamu Mdudu huyu?


Kwa wale waliocheza wakiwa watoto watakua wanamfahamu mdudu huyu kwa jina la (..................) litaje hapo kama mlivyokua mnamuita. (Naamini kila jamii wana jina lao.

OPENING OF AAR NEW CLINIC IN ARUSHA

AAR wamefungua clinic mpya hapa Arusha katika jengo la Hospitali mpya ya Selian kwa ajili ya kuwafikia kwa karibu zaidi wateja wao. Kilimanjaro Aviation ni mmoja kati ya wadau wa AAR na iliwakilishwa na kaka Hussein Qubah. Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo.

Wadau wa AAR Arusha pamoja na kaka Hussein Qubah (mrefu zaidi) wakipozi kwa ajili ya picha
Wadau wakisikiliza hotuba ya ufunguzi.


Mwanzilishi wa AAR akiwa na baadhi ya viongozi .


Wafanyakazi wa AAR. very smart kwa kweli.
Picha kwa hisani ya kaka Hussein Qubah wa Kilimanjaro Aviation.

Pikipiki (Bodaboda)


Ziko nyingi sana sikuhizi na ajali zake pia ni nyingi. SBP iliwakuta hawa wanasubiri wateja maeneo ya Impala Arusha.

Tuesday, February 23, 2010

EASTER CONFERENCE

Wadau wote mlioko Marekani mnakaribishwa kwenye semina kubwa ya sikukuu ya Pasaka yenye nguvu za Mungu zenye kuleta mabadiliko maishani iliyoandaliwa na Mchungaji Pastor Abihudi na Catherine Abihudi. Semina hii itafanyika Kansas City, MO.

Wahudumu ni Mchungaji Charles and Catherine Abihudi(Wenyeji), Pastor Kagumba, Emmy Ntwina, Ben Maira(UK) na Dr. Shallua.

Unaweza kujiandikisha kwenye huu mtandao hapa, www.wakati.net/events.htm. Gharama za mkutano ni $50 kwa siku mbili, Ijumaa na Jumamosi. Jumapili mchana semina itakuwa imeisha. Gharama hii ni ya malazi na chakula. Tafadhali jiandikishe kabla ya March 20, 2010.
Address ni
Residence Inn, Marriot
10300 North Ambassador Dr
Kansas City, MO 64153


Kwa maelezo zaidi piga hizi namba hapa
417 423 0591
417 837 9340
417 619 4951

Kama ni wewe unafanyaje??

Ni asubuhi na umeshapanga safari, huna pesa (Cash) lakini una card ya bank na account yako ina pesa za kutosha kabisa. unategemea ukifika
karibu na kituo cha bus uchukue pesa kwa ajili ya nauli na matumizi ya safarini. Unaingia kwenye ATM machine na unakutana na hayo maneno (TEMPORARILY OUT OF SERVICE)...
huna hata nauli ya daladala ya kurudia nyumbani ili ukajipange upya...UTAFANYA NINI??

Monday, February 22, 2010

Result of LOVE MARRIAGE

IT IS ALWAYS THE KID THAT SUFFER His name is Zonkey!!!!!!!

Siku ya wamama (WWK) Calvary Temple.

Kama kawaida ya makanisa ya Assemblies of God ulimwenguni kote, kila mwaka kunakuwa na siku ya wamama ambapo wanapata nafasi ya kudisplay mambo wanayofanya wakiwa katika umoja wao. Jana wamama/wanawake wa kanisa la Calvary temple walishrehekea siku yao. Hizi ni baadhi ya picha.


Mchungaji Journey Kombe anayesimamia huduma ya wanawake akiwa katika mstari wa kwaya pamoja na wanawake wengine.



Kwaya ya injili ya wamasai on the stage!



Mchungaji kiongozi Rev WB Kimaro akimwombea Mrs Mercy Munisi kabla hajatoa neno.

Na hili ndio neno la Mungu.


viatu hivi pia vilikuwepo kanisani jana!

Saturday, February 20, 2010

Huwa unapata muda kutulia na kusikiliza??

Nilikutana na huyu kijana katika mkutano wa injili alikuja mwenyewe akatafuta mahali palipotulia hakutaka kukaa na vijana wengine wa umri wake bali alikaa mwenyewe na akatulia kusikiliza. Kuna kitu umejifunza??

Huduma inaendeleaje??

Solomon Mukubwa, Jojo Jose Mwakajila na mke wake Matilda wakiwa katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid Karume, Arusha wakati wa mkutano wa injili mapema wiki iliyopita.

Saturday, February 13, 2010

Crazy Photoshop!






Zimenifurahisha sana, yaani kuna baadhi ya vichwa vya watu sijui huwa vinawaza nini?? Very creative!
Picha kwa hisani ya rafiki yangu Noel Mlay wa TMA Hqts.

Thursday, February 11, 2010

SWALI. HUKU NDIKO KUIPIGANIA IMANI?


Askofu Zakary Kakobe akiteta na waandishi wa habari nje ya viwanja vya kanisa lake la Full Gospel Bible Felowship Mwenge jijini Dar es Salaam. Naamini issue hii unaijua vizuri, taarifa za hivi karibuni zinasema wapo tayari kufa au kuendelea kuishi ili TANESCO wasipitishe umeme hapo.

Bungeni DOdoma. Rich-Mond ndio imekufa?


Dkt Wilbrord Slaa, Edward Lowasa na Juma Kilimba (Wabunge) wakiteta nje ya ukumbi wa bunge. Hoja ya RICHMOND ndio nitolee hivyo.,,, Mimi binafsi sijaridhika kabisaaaaa sijui nyie wenzangu.. Waharibifu kama hawa wakiachwa waendelee kutufilisi tutafikia wapi kimaendeleo?

Tuesday, February 9, 2010

LOVE UNWRAPPED


Each and every one of us has a need to be loved and a desire to love but many of us really have no understanding of what true love is. Yesterday we established that God is love and so the foundation of our love should be God and not any other thing. If our love is founded in any other thing then it is a counterfeit


But when you really think about it, what is love? Would you know it if you spotted it? We use the word love in relation to many things. Think about this; I love bread, I love vw beetles, I deeply love my wife, I love my kids, I love God and the list goes on and on and on.
What do I mean when I say I love all these things?

1 Corinthians 1-4a
1If I speak in the tongue of men and of angels, but have not love, I am only a resounding gong or a clanging cymbal. 2If I have the gift of prophecy and can fathom all mysteries and all knowledge, and if I have a faith that can move mountains, but have not love, I am nothing. 3If I give all I possess to the poor and surrender my body to the flames, but have not love, I gain nothing.
4Love is patient, love is kind. It does not envy,

This week we are unwrapping love to find out whether we have the real thing or simply an imitation. Even as we do this, think about you and the love you give. The first three verses establish the necessity of love. You can have all other things but if love is absent then its all for nothing. That is because God is love. Then it goes on to break down love into chewable pieces that we can relate to and understand in everyday life.

Love is patient meaning to bear and endure without complaining. It does not say that love is only patient when things are working well. When do you need patience? Is it when things are working well or when things are not working?
God is patient with us and He is the standard where love is concerned. How would life be if God was impatient with us? God does not walk out on us when we commit sin and turn our backs on Him. He remains patient. To be patient is to wait without worry

Love is kind, meaning it is good natured, tender, and affectionate
When you truly love someone you will be kind to them, desiring to do good to them, you will be gentle and not severe or harsh. You will be courteous because you desire their happiness and would not pain their feelings

Love does not envy meaning it does not long to posses something awarded or achieved by another
When someone in the church gets that promotion that you have been eying for years do you rejoice with them or do you envy them? When your friend’s marriage is blossoming and doing great do you rejoice with them while yours is hitting rock bottom or do you envy them?

Notice that as God unwraps to us loves character it does not come with strings attached. It is not dependant on how the other person behaves. If that were the case then none of us would experience Gods love
So, as we look at the first three characteristics of love we can begin to understand what love looks like in everyday life.

Love is to bear and endure without complaining
Love is good nature d tender and affectionate
Love does not long to posses something awarded to or archived by another.
Those are only the first three and I am already challenged because I can already see that I am wanting.
Is this how the love that you confess look like? Before you say I love you this valentine, think am I patient? Am I kind? Do I envy?
Tomorrow we continue to unwrap love!

PRACTICAL APPLICATION
Purpose to go back to Gods school to re learn what true love really is!
-Hope FM.


Wednesday, February 3, 2010