Tafuta/Search This Blog

Wednesday, March 31, 2010

Tuesday, March 30, 2010

Kaka Obama

Nipe tano Prezidaa!!

si kazi rahisi.


Picha hizi zimepigwa mwezi huu wa 3 katika matukio tofauti.


Thursday, March 25, 2010

Monday, March 22, 2010

Strictly Gospel


watembelee katika website yao www.strictlygospel.wordpress.com kwa ajili ya kuinuliwa kiroho na kupata shuhuda mbalimbali bila kusahau maombi.

Unao muda na MUNGU??

NI kweli kwamba tuna mambo mengi sana na maisha yamekuwa magumu so tunatafuta sana kila siku. Lakini hebu tufike mahali na kujiuliza je tunapata nafasi ya kwenda mbele za Mungu na kumwabudu, kumsifu na pia kusikiliza neno lake?? Au tumekuwa wabinafsi sana kuasi cha kutokumpa Mungu nafasi hata kidogo. Kumbuka yeye ndiye kila kitu kwetu!











Ibada ya Jumapili jana, Calvary temple Arusha.

Saturday, March 20, 2010

Easter Conference

Wadau wote mlioko Marekani mnakaribishwa kwenye semina kubwa ya sikukuu ya Pasaka yenye nguvu za Mungu zenye kuleta mabadiliko maishani iliyoandaliwa na Mchungaji Pastor Abihudi na Catherine Abihudi. Semina hii itafanyika Kansas City, MO.

Wahudumu ni Mchungaji Charles and Catherine Abihudi(Wenyeji), Pastor Kagumba, Emmy Ntwina, Ben Maira(UK) na Dr. Shallua.

Unaweza kujiandikisha kwenye huu mtandao hapa, www.wakati.net/events.htm. Gharama za mkutano ni $50 kwa siku mbili, Ijumaa na Jumamosi. Jumapili mchana semina itakuwa imeisha. Gharama hii ni ya malazi na chakula. Tafadhali jiandikishe kabla ya March 20, 2010.
Address ni
Residence Inn, Marriot
10300 North Ambassador Dr
Kansas City, MO 64153


Kwa maelezo zaidi piga hizi namba hapa
417 423 0591
417 837 9340
417 619 4951

KUMBUKA: IMEBAKIA WIKI MOJA TU!!

Tuesday, March 16, 2010

Friday, March 5, 2010

Long time ago...

Enson(Aliyeweka mikono mifukoni), Elfadhili(Aliyeshika usukani), Elias(Aliyejikunyata), Erica (Aliyepiga gauni ya njano), Paulina(Pembeni ya Erica amekaa juu ya pikipiki). ((Hao ni ndugu wa familia moja))
Mbele waliochucumaa ni Kabula na Madudu, Dogo mwenye suti ni Hossen, na Mdada mkubwa kulia ni Vyola. Huyo mbaba simkumbuki kabisaaaaaa..

KLM


Ndege hii huwa haionekani mitaa ya KIA mchana mchana. Huwa inakuja usiku na kuondoka usiku huo huo. Mwanzoni mwa wiki hii ilipata matatizo ikaahirisha safari yake. Tukapata nafasi ya kuiona mchana. Mvua ilikuwa imenyesha na nimependa huo muonekana wa ramani za maji ardhini!!

Thursday, March 4, 2010

Arusha nako!!


Hata huku mambo haya ya ujamaa na kujipanga foleni barabarani yapo. Ila Dar yamezidi kidogo!!!
Traffic jam in Arusha.

Wednesday, March 3, 2010

DAR ES SALAAM ZOO. Jana nilitembelea Dar es Salaam Zoo. Ipo Kigamboni baada ya kijiji cha Kibada. ni kama Km 25 kutoka Dar town kupitia Kigamboni

Dar es Salaam Zoo.... Naamini wengi hatujui kama hata kuna Zoo hapa kwetu Bongo Dasalama. Nimepata nafasi ya kufika, hebu cheki alafu uniambie kama inaweza kuwa Dar. (Hapa ni getini)

Safari inaanza.. Hapo ni Enson (Kushoto), Suleiman (Katikati) na Rest (Kulia).
Suleiman ndio alikua mwenyeji wetu, nimtaalam wa udaktari wa mifugo, lakini amejitahidi kujua kwa kujisomea mengi sana kuhusu wanyama pori





Secretary bird... anaitwa hivyo kutokana na kuwa na kilemba cha manyoya kama secretary wa zamani walivyokua wakiweka kalamu hapa nyuma ya kichwa...



The Lion King. Simba huyu anaitwa ... na ana miaka kumi akiwa anaishi katika kifungo tofauti na wengine wanaozunguka huko porini

Zoo in Dar es Salaam

CHUI. Mh Leopard huyu tulimdhatau tulipomuona.... eti tunasema Mbona kadoooooogooooo.... Tuliambiwa huyo ni mkubwa sana na ana miaka mitano sasa. Ni myama hatari saaaana... ni jamii ya paka. hana aibu kama alivyo simba.
Hapa ni Ngorongoro, Bonde hili linafananishwa na view ya Bonde la Ngorongoro ile ya Arusha

Mamba. Hapa ni jinsi anavyoweza kupunguza joto la mwili. Mamba hana ulimi kama wanyama wengine. Ukiangalia vizuri utaona


Mbuni. Kilicho niacha hoi mimi ni kuwa MBUNI ni ndege anayetaga yai dogo kuliko ndege wote duniani. Ukichukua ukubwa wa mwili wake na ukubwa wa yai lake, inaonekana ana yai dogo sana kuliko ndege wengine wote.. (Interesting)



JUMAPILI ILIYOPITA ILIKUA SIKU YA WANAWAKE WATUMISHI WA KRISTO (WWK) KWA MAKANISA YA TAG Taifa Ona kwa uchache ilivyokua Kigogo TAG

Kwaya wa Wanawake Watumishi wa Kristo, walikua ndani ya RED, mandhari ya kanisa ilibadilishwa na mavazi yao mazuri
Mtunza MAPESA wa Idara hiyo akitoa taarifa ya Idara kwa mwaka mzima Huyu ni Mrs Bachunya
Kama kawaida Idara hii humtegemeza Mtumishi wa Mungu. hii ni moja ya malengo waliyojiwekea. Mch G Lwengo na Mama Happy Lwendo wakipokea zawadi kutoka kwa Wamama (WWK)

Maakuli yalikuepo... Imma anaonekana akifurahia chakula kilichopikwa mahsusi
kwa ajili ya siku hii ya WWK. Pozi safi la msosi

Graduation ya CASFETA - TAG 27 Feb 2010 ilifanyika Upanga Christian Center

Hapa ninamfahamu Paschalina Peke yake(Wakatikati) Wamepata vyeti vya utumishi bora. Picha na Timoth Odera


Vicheko vya furaha Paschalina na Timoth Odera (kulia) wengine ni marafiki zao

Paschalina akivishwa taji na ndugu waliohudhuria...
Nilipendezwa na vazi lao pia....

Chile earthquake may have shortened days

The massive 8.8 earthquake that struck Chile may have changed the entire Earth's rotation and shortened the length of days on our planet, a NASA scientist said Monday.

The quake, the seventh strongest earthquake in recorded history, hit Chile Saturday and should have shortened the length of an Earth day by 1.26 microseconds (millionths of a second), according to research scientist Richard Gross at NASA's Jet Propulsion Laboratory in Pasadena, Calif.
"Perhaps more impressive is how much the quake shifted Earth's axis," NASA officials said in a Monday update.

The computer model used by Gross and his colleagues to determine the effects of the Chile earthquake effect also found that it should have moved Earth's figure axis by about 3 inches (8 centimeters or 2.7 milliarcseconds).
Earth's figure axis is not the same as its north-south axis, which it spins around once every day at a speed of about 1,000 mph (1,604 kilometers per hour).
The figure axis is the axis around which Earth's mass is balanced. It is offset from the Earth's north-south axis by about 33 feet (10 meters).

Strong earthquakes have altered Earth's days and its axis in the past. The magnitude-9.1 Sumatran earthquake in 2004, which set off a deadly tsunami, should have shortened Earth's days by 6.8 microseconds and shifted its axis by about 2.76 inches (7 centimeters, or 2.32 milliarcseconds).
One Earth day is about 24 hours long. Over the course of a year, the length of a day normally changes gradually by one millisecond. It increases in the winter, when Earth rotates more slowly, and decreases in the summer, Gross has said in the past.
The Chile earthquake was much smaller than the Sumatran temblor, but its effects on Earth's figure axis were a bit larger because of its location. Its epicenter was located in the Earth's mid-latitudes rather than near the equator like the Sumatran event.
The fault responsible for the 2010 Chile quake also slices through Earth at a steeper angle than the Sumatran quake's fault, NASA scientists said.
"This makes the Chile fault more effective in moving Earth's mass vertically and hence more effective in shifting Earth's figure axis," NASA officials said.

Gross said his findings are based on early data available on the Chile earthquake. As more information about its characteristics are revealed, his prediction of its effects will likely change.
The Chile earthquake has killed more than 700 people and caused widespread devastation in the South American country.
Several major telescopes in Chile's Atacama Desert have escaped damage, according to the European Southern Observatory, which manages those facilities.

-msnbc

Monday, March 1, 2010

Eti Nimetumiwa mkasa ule wa MANYOYA pale Selander Bridge. Mtumaji wa picha anadai huyu ndiye aliyepata manyoya baada ya kutoa msaada kwa ombaomba....

Eti alipofika home akaona Manyoya yameanza kushika kasi, akatoa nguo kuhakikisha kama ni ndoto au ukweli yanatokea...


Du! Minnyoya ikazidiiiiiiii


Haya tena, hata hana haja ya kuvaa nguo....

Mwisho akazoea maisha.

Mail niliyotumiwa eti inasema jamaa huyu sasa hivi ameshazoea manyoya na anapita mitaani kama kawaida.... (Joke)