Tafuta/Search This Blog

Monday, January 24, 2011

Wagweno wahiji Nyumbani kwao. Ni WASUYA, Wasafiri hadi Msangeni Ugweno tar 22 Dec 2010 hadi 26 Dec 2010

Safari iliyopangwa kwa muda mrefu ilitimia.
Tulifika Kanisa la KKKT usharika wa Msangeni kutoa sadaka ya Shukrani siku ya Krismasi (Chrismas)


Madhabahuni tulipotoa shukurani yetu
uUongozi mkuu wa Dana. Mzee Ezekiel (Katikati) Rogers (kulia) na Adbalah Kibabu (kushoto)
Kaka Eneza (Enson) akimsaidia Mzee Ezekiel Kushuka. Ndo njia zetu





Papaa Shedrack Mzee wa Sun gogoz


Mama Yonael Alikuepo


Mwizi naye hakubaki nyuma kuwaingiza watu wa mjini Mjini... Hahahahahaha Alikiona cha Moto


Umati wakitaka kumpiga mwizi. Mimi kaka Eneza ndio nilijitahidi kumtetea lakini bado walimramba vya kutosha


Chini ya Ulinzi wa Christian na Msafiri



Wenye hasira zao wakifuatia nyuma. Mwe!




M h! Haya tena, Tuambie Mdogo wetu! Umetoa Mbuta?



Mahafiki Huru Vs Magomeni TAG CAs Team... Tar 1/1/2011

Marafiki Huru MH Team, Wakakamavu
Magomeni TAG Team Swali lililobaki kichwani kwangu hata leo lilikua ni JE? TAG wameruhusu marasta kanisani? Mtokambali upo wapi? Chungulia Magomeni ujionee uchakachuaji.

Mawaidha.