Tafuta/Search This Blog

Saturday, September 10, 2011

Joseph Msami aamua kuachana na Ukapela amwoa Adelah Deo.

Joseph na AdelahKaribuni Ukumbini Joseph na Adelah


Kishumba orijino....

Misosi.






Joseph haamini kama amepata Jiko.




Adelah na Mchumba wa Enson.




Keki ya asili ilitumika katika Arusi hiyo. Keki ya Kipare, almaarufu, KISHUMBA.





Msami akiwa na Rest



Pozi la kuingilia Ukumbini.


Friday, September 9, 2011

SHAROBAROOO MEEEEEN

Pozi la Ki MR Bean


Kijana huyu, Frank Temba hujitambulisha kwa jina la Shabobaro na wakati mwingine Barobaro alipokembelewa na mpigapicha wetu chumbani kwake.

Eneza (Enson) Anatarajia Kuoa....

Wapenzi wadau wa Blog ya jamii ya SHALOM BROZ PRODUCTIONS, Tnapenda kuwajulisha kuwa Kijana wetu, Mwenzetu, Mkurugenzi Mwenzetu wa SBP Eneza almaarufu Enson Msuya wa Kwanza kulia katika picha ya hapo juu inayouza Blog, anatarajia kufunga pingu za maisha tar 6 Nov 2011 na Bi Rest Godwin Mjini Dar es Salaa. Vikao vinaendelea na Tunapenda kukujulisha kuwa Waweza kushirikiana nasi kufanikisha.

Pamoja na hayo niwakati mzuri kujua kuwa SBP wakurugenzi wote watakuwa wameoa ikifika tar 6 Nov 2011. Haya ni mafanikio makubwa sana kwa sisi kama Shalom broz na kwa Blog yetu pia hivyo na kwako wewe Msomaji.

Waombee vijana hawa wanaotegemea kuanza Familia mpya ili wafanikiwe.

Tumia Namba hapo juu katika wall ya Blog kuwasiliana nasi kwa chochote.

Tunaamini Mungu muweza ataifanikisha siku hii na kufanikisha maisha yao ya Ndoa. Mungu Mbariki Enson, Mungu Ibariki Shalom Broz Productions.

Asanteni Wadau......