Tafuta/Search This Blog

Tuesday, August 23, 2011

I love this....

Binti mdogo wa Rais Obama, Sasha, akiwa amejificha nyuma ya kochi ili amstue baba yake anayeonekana akiwa busy na kazi katika ofisi yake.

Saturday, August 20, 2011

The smallest church i know!


Hili nimelikuta maeneo ya Kiseke A, Mwanza. Kutoka mbele kabisa ya kanisa hadi nyuma kabisa ya kanisa ni kama viti vitatu tu. Lakini pia ndio Head office ya dhehebu hili!!

Friday, August 19, 2011

Picha kali zaidi kutoka mjengoni!

Waziri mkuu wa Tanzania mh. Pinda akiwa na mazungumzo na kijana wake Mh. Lema mbunge wa Arusha mjini kwa tiketi ya CHADEMA.

Sijui wanaongelea yale maandamano ya Arusha....

Picha ya Father Kidevu.

Thursday, August 18, 2011

Inasemekana kwamba jiji la Mwanaza litakuwa gizani kwa miezi minne kwa sababu kwa sasa kuna 4MW tu alocated to this city badala ya 46MW zinazohitajika!

Mimi kama mkazi wa hili jiji nimechukizwa sana na taarifa hizi maana ni kama ilikuwa inasubiriwa kupitishwa kwa bajeti ya wizara husika ndo haya yatokee. Hii si habari njema kwa uchumi wa jiji na nchi kwa ujumla, na kwa jamii yote!

Miaka 50 ya uhuru bila uhuru wa kweli!!!

Monday, August 8, 2011

Zaidi kutoka Mwanza!

Beautiful side of the city...



Hapa, mmmhhhh!!....



Hapa, mmmhhh zaidi...

Hawa pia wanapishana na madaladala kwa raha zao...


Hili ndio jiji la mawe a.k.a Jiji la Kandoro!

Saturday, August 6, 2011

Taswira za Katesh, Singida, Shinyanga mpaka Mwanza.

Peace and Love Mgahawa somewhere in Singida.

Kijana akishangaa kwenye kituo cha mabasi Katesh.
Mtoto wa mitaani akiwa amevaa Tangazo lililokwisha muda wake Shinyanga.
Mawio Mwanza.
MV Victoria ikiwasili bandari ya Mwanza kutoka Bukoba.