Wednesday, October 8, 2008

Dina ya kampuni!! (Inahitaji uvumilivu)

Siku ya tarehe 7 OCT ilikuwa siku ya dinner kwa kampuni ya kaka G. Yaani kulikuwa na mambo mengi mazuri na haya ni machache...


Manager na Accountant


Pozi la kusubiria!! Kaka G na Hussein.


Pozi jingine!! Conrad(Mjomba wa watoto) na Martin


Mambo ya Dessert haya. Najua wengi hamjawahi onja hii !!!!!!



Uchunguzi wa nguvu ilipasa ufanyike!!

Shukrani kwa Kilimanjaro Aviation Logistics Center LTD.

2 comments:

  1. keki inamalavu lavu hahahaaaaaaaaa.
    umeshawekewa juju subiri sasa impact yake... hahahaaa
    ila kama ulikumbuka "kuvunja" hapo utakuwa umenusurika...

    ReplyDelete
  2. Mh! Hiyo desert imetulia. I'v never seen it before.

    ReplyDelete