Tuesday, October 28, 2008

KIBO PALACE

Nilipata nafasi ya kutembelea Kibo palace Arusha jumapili iliyopita. Its a nice place kwa kweli and here are some pictures
Swimming pool

Kaka Imma Ng'andu.



Kaka Gee.
Wakati mwingine jamani jitahidini kujipa raha mara moja moja...



2 comments:

  1. Kaka Gee umenenepa! Nini siri ya mafanikio! Hongera kwa kujipa raha!!

    ReplyDelete