
tabasamu la Sanga.
Baada ya kusubiri huu ubwabwa kwa muda mrefu hatimaye Bwana alifungua njia na Ubwabwa wa kaka Noel Sanga ukaliwa tarehe 8Nov. Sanga amemuoa binti na mtumishi wa Mungu anyeitwa Mercy.
Kama kawa sisi SBP tunawatakia maisha yenye furaha tele na inshaalah tunasubiri "wajomba"
hiyo inshaalah mbona haina ushuhuda?? achana nayo we sio mtu wa kuandika maneno kama hayo...
ReplyDeleteInshaalah ni neno la lugha ya Kiarabu likimaanisha Mungu akipenda!!
ReplyDeleteUsiogope, Kiarabu pia ni Lugha kama Kisukuma, kiingereza na kiyunani!!....sio kiisilamu!!