Tuesday, January 20, 2009

Picha zaidi za mazishi ya Fanuel Sedekia

Tumepata maombi ya wadau wengi ambao walipenda tuweke picha zaidi za matukio kutoka katika mazishi ya mtu wa Mungu Sedekia. Nami nawaletea hizi;






Baadhi ya wadau wa Muziki wa Injili wakimsindikiza kaka na rafiki yao.




Jeneza lililobeba Mwili wa ndugu yetu Sadekia.




Ni kama amelala.



Familia ya Marehemu.

Upendo Nkone alishindwa kabisa kujizuia...




Sura za majonzi na kutoamini!! Christine Shusho, Beatrice Muhone

Maua

Neno la Mungu!







Mwalimu Mwakasege pia alikuwepo!!







Mavumbini ulitoka na Mavumbini utarudi!





Mwakilishi wa Shalom Broz Arusha pia alikuwepo makaburini...macho!!

Wadau wa muziki wa Injili: Robert Ngowi, Mtumishi Tolla G na mwalimu Boniface Funyame wa Calvary temple.

Baada ya mazishi, chakula nyumbani kwa marehemu. Dada Asumpta na rafiki yake kutoka DPC.

Picha zoote ni kwa hisani ya mtumishi wa Mungu Tolla G wa Mfalme Music.

26 comments:

  1. MUNGU aiweke mahali pema pepon roho ya ndugu Fanuel AMEN

    ReplyDelete
  2. I enjoyed his music! 'Katika Ibada' was the best! May God give peace to his family!

    ReplyDelete
  3. He was asleep. He will wake up soon.May He rest in peace. He had finished His race. May the NAME of God be Glorified.

    ReplyDelete
  4. Just bought his VCD manukato yesterday. When I watched the 4rd video n saw his own funeral.Learnt of his passing on just now.So unfortunate.Your album has blessed me and shall look for the rest. RIP

    ReplyDelete
  5. Alikufa sijamuona live,,lakini wakati wote nikiangalia picha yake machozi hunitoka pasipo kikomo.

    ReplyDelete
  6. hakika uliifanya kazi ya Mungu na kwa uaminifu .RIP Father

    ReplyDelete
  7. Just i always cry when playing his song ,,ni neema ya mkombozi...nimefanyika kuwa mwana na nimehesabiwa haki....Sedekia our love one,,,RIP man of God

    ReplyDelete
  8. Brother and friend....fought a good fight and ran the race. I listen and meditate on the songs with my famiky.His impact is still fresh to us. God bless his entire family.

    ReplyDelete
  9. Mungu hakosolewi,ingawa nitazamapo nyimbo zake huzuni hunipata.Paradiso tutaonana

    ReplyDelete
  10. God Lord, Father not in command, but my prayer request. May you give good rest in paradise. Fanuel Zedekia.

    ReplyDelete
  11. RIP Daniel. Your songs are a great inspiration and a blessing to me. I listen to them over and over and over.

    ReplyDelete
  12. Jamani nikiona nyimbo zake namkumbuka sana na ninaumia sana

    ReplyDelete
  13. poleni sana family ya sedeki fanuel nilikupenda sana weye baba afu sasa nikiona pale ukonaimba jina la yesu na upendo ukiwa nacheka cheka sana baba mungu kweli akupokeye kbs kwakazi nzuri uliyo fanya rest in peace

    ReplyDelete
  14. Oh my God.This was a painful time for the entire world. You served well Fanuel. Wewe ulitukuza kiroho kwa nyimbo zako.Tutaonana baadaye pumzika.

    ReplyDelete
  15. Fanuel's songs really uplifts my soul. Though away,he still uplifts many. Till we meet RIP Fanuel

    ReplyDelete
  16. Aliomba nyimbo ambazo hadi sasa zinainua na kutia moyo... Tutaonana siku moja

    ReplyDelete
  17. You touches my until to date your gone but your existing in our heart your songs continue to mentor usfrom Kenya meru county imentisouth nkuene ward in mikumbune sublocation

    ReplyDelete
  18. Rest in peace man of God.... you are a living legend... your songs are alive and inspirational to the generations to come

    ReplyDelete
  19. "Nitaimba hallelujah", wimbo ambao kamwe utanijenga milele.
    Hakika wanadamu tunapanga ila mungu ndiye anayeamua.

    ReplyDelete
  20. Na kazi ya mungu ibarikiwe milele

    ReplyDelete
  21. Tutakukumbuka daima kazi ya Mungu haina makosa kifo hakina had ruma keel niliamin kwa sedekia

    ReplyDelete
  22. We loved that man of God, may he continue resting in glory...

    ReplyDelete
  23. Fanuel Zedekiah's songs had such an impact in the lives of people. I hope to meet him one day in the kingdom of heaven

    ReplyDelete