Kutokana na maombi ya baadhi ya wadau nimeona niweke picha za maneo ya Arusha na kutakuwa na mfululizo wa postings zenye picha za maeneo ya Arusha. Kwa kuanza tuone hizi,


Kibo Palace Hotel.

East African Hotel.

Summit Center, Ngarenaro

Residential area, Suye.
NASHUKURU SANA KWA PICHA ,ENDELA KULETA ZINGINE TUONE MAMBO MAZURI YA ARUSHA.
ReplyDelete