NBC.

Inajieleza, maeneo ya metropole.

mbele ya sekondari ya Bondeni.

Ukumbi wa Metropole.

kituo cha vifodi cha metropole.


Mbele ya soko kuu.


Stendi kuu


mianzini.
Hii ni kwa wadau wote wa Arusha na hasa wale ambao hawajakuwepo Arusha kwa muda mrefu sasa. Hii ndio Arusha inavyoonekana sasa.
ASANTE UMENIKUMBUSHA ARUSHA SANA, NASHUKURU SANA.UKIPITA MITAA LEVOLOSI, MBAUDA,KILOMBERO SOKONI,SHULE YA MERU,NGARENARO,ARUSHA SEC,ARUSHA MERU,KITUO CHA POLISI NK,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,THANKSSSSSSSSSSSSSSSS
ReplyDeleteDah nimefurahi san kwa kunionyesha nyumbani kwetu mianzini,
ReplyDeletenipo dar huu mwaka wa pili nimefurahi sana jamani,
natamani likizo ifike haraha nirudi nyumbani kwa ndugu jamaa na marafiki
pia maene mengi ya arusha nimefurahi kupaona