Monday, September 7, 2009

Nje kidoogo ya jiji.













SBP ilipata nafasi ya kutembelea maeneo ya nje kidogo ya jiji kwa ajili ya mapumziko mafupi. Ni katika wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro nyumbani kwa mama zetu. Hizi nitaswira za njiani katika nia inayopita mwenye milima mikubwa!

2 comments:

  1. mdau hii sehemu ni kwenda usangi au kwenda wapi?

    ReplyDelete
  2. Hiyo ni njia ya kwenda Usangi mdau. Ndio kwenu huko??

    ReplyDelete