Friday, September 3, 2010

Mpya kutoka kwetu


Wapendwa wetu tunawaletea tena design mpya ya Tshirt ambazo tume design na kuprint wenyewe. Kama utapenda tshirt hizi tafadhali wasiliana nasi kwa namba hizi; 0786055413, 0759598340 na 0756025428.
Barikiweni sana!

3 comments:

  1. Wow nice, hongereni sana wapendwa! Mtafika mbani. Sisi tupo pamoja nanyi.

    ReplyDelete
  2. Kazi Nzuri Sana..Mungu Abariki Kazi Ya Mikono Yenu!

    ReplyDelete