Hakuna KUAZIMANA chupi...



Hii nimekutana nayo kwenye zahanati moja hivi ya serikali Jijini Mwanza.

Saturday, January 5, 2013

Best NEW year Message. 2013 USILIE!




Tunakutakia mwaka mwema wa furaha na amani. Mungu akulinde siku zote!