Monday, August 3, 2009

Mijengoni kwa wenzetu!

Hivi ulidhania bunge letu lina watu wenye kelele na hoja za kuudhi eeh?? Hebu ona kwa wenzetu, ukitoa hoja yako haijaeleweka unapewa kibano hapo hapo fasta!!


Turkey

Mexico

South Korea


Ukraine



Russia



Italy





Taiwan


Tafakari....
Chukua hatua ...
TIII TIII!!
Kutoka kwa mdau Elias Msuya.

1 comment:

  1. Na Bongo hamna kushikana mashati bungeni, kwa sababu wote wanakula sahani moja.

    ReplyDelete