Hivi ulidhania bunge letu lina watu wenye kelele na hoja za kuudhi eeh?? Hebu ona kwa wenzetu, ukitoa hoja yako haijaeleweka unapewa kibano hapo hapo fasta!!
Turkey
Mexico

South Korea

Ukraine

Russia

Italy

Taiwan

Tafakari....
Chukua hatua ...
TIII TIII!!
Kutoka kwa mdau Elias Msuya.
Na Bongo hamna kushikana mashati bungeni, kwa sababu wote wanakula sahani moja.
ReplyDelete