Friday, October 23, 2009

Polisi JAMII!!


Kama ulikuwa hujaielewa hii dhana ya Polisi JAMII basi mimi nimeikuta wazi wazi mitaa ya Tanga!!

2 comments:

  1. hili ni jambo la maana sana kuhusu usalama wa jamii. naambiwa kwamba tanzania mmefaulu. vipi mkafaulu?

    gthkanyeki@yahoo.com

    ReplyDelete
  2. mie ni afisa wa polisi tawala kenya ningependa kujadili dhana hii ya polisi jamii. je watanzania mpo mnifunze mambo haya ili niwasaidie wakenya wnzangu?

    ReplyDelete