
Salon ambapo kaka Gee alitengeneza sura., siunajua mambo ya Arusi tena!!!! (Frisha Salon)

Salon ambapo Dada Matilda alifanya dressing, Ilikua Frisha Tabata Chang'ombe...

Gari ya wawili hawa....

Sidhani kama nyama ilikua ngumu hivyo!!!! Utamu tu tu unasumbua hapa. Elias na Mkewe

Babu na Bibi wa Gee....
Du wanaume nao wanarembwa!! Mlipendeza sana kwa kweli. Glory be to God. Hongera sana kaka Gee na dada Mattie.
ReplyDelete