Sunday, February 28, 2010

Safari.


Sio kila safari inayoanza huwa inafika mwisho. Kuna nyingine huwa zinaishia kama hapa.

Inakupasa umshukuru Mungu sana kila unapofika mwisho wa safari yako. Bila yeye hata wewe usingefika!!

1 comment:

  1. True that!! Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu..

    ReplyDelete