Friday, February 12, 2010

Understood? Do I need to repeat?

Wewe ukiwa mwanafunzi utajibuje hapo? Angalia ubao wenyewe sasa ulivyojaa! Mweeee!

1 comment:

  1. Mwanafunzi: Mwalimu, mi bado sijaelewa.
    Mwalimu: Hujaelewa wapi?
    Mwanafunzi: Wala sijui ni wapi sijaelewa.

    ReplyDelete