Tuesday, April 13, 2010

Janeth's Kitchen Party...


















Haya ni baadhi tu ya mambo katika shamra shamra za kumkichenpatisha binti janeth, tukio lilifanyikia masaki barabara ya chole.



2 comments:

  1. Sijapenda, mbona nguo km ya sendoff? na make up sio nzuri. Hongera lakini Mungu akupe furaha ktk maisha mema unayoyaanza.

    ReplyDelete
  2. Mpendwa wetu, si rahisi kupenda kila tunachoona kwa hiyo hayo ni maoni yako na tunayaheshimu. Hongera sana Janeth!
    SBP!!

    ReplyDelete