Saturday, April 10, 2010

Msosi msisimko!!


Lunch yangu jana!


Yaliyomo: Ugali, Dagaa, nyama ya kukaanga, spinach na parachichi. (pilipili kwa wiingiii)

3 comments:

  1. Yummy!! Nautamani..

    ReplyDelete
  2. Inabidi umshukuru Mungu sana.....maisha yalivyo magumu kuweza kuwa na mchanganyiko huu ni jambo la faraja. Kijijini kwetu huo ni mlo wa watu watau tena , wakati wa Christmas!

    ReplyDelete
  3. UNAPENDA KULA SANA WEWE!

    ReplyDelete