Thursday, July 28, 2011

Katika nyumba ya Lwendo amezaliwa Mjukuu. Gratian Godlove Lwendo

Tunamshukuru MUNGU kwa kuongeza uzao katika familia ya Mkurugenzi mwenzetu wa Shalom Broz na kuwapa Gratian mtoto wao wa kwanza wa Kiume.

3 comments:

  1. Pongezi kwa baraka ya familia.
    Mungu amlinde, amkuze katika mema yote kwa kimo na akili.
    Afya njema kwa familia nzima, zaidi sana kwa Mama Mzazi!

    ReplyDelete
  2. Utukufu kwa Bwana Yesu, hongereni sana kwa baraka hii. Karibu sweet baby!
    Aunt P

    ReplyDelete
  3. Tunawatakia Afya njema, Mungu amlinde na kumstawisha siku hadi siku. Hongereni sana

    ReplyDelete