Tafuta/Search This Blog

Showing posts with label by Shalom Broz Prod pics Eneza (Enson). Show all posts
Showing posts with label by Shalom Broz Prod pics Eneza (Enson). Show all posts

Tuesday, February 17, 2009

Mambo ya Halima/ Vanessa. Kitchen Party ya kufana 15/02/2009

Kitchen Party Hall, pale Mburahati. hapa Halima/Vanessa bado hajawasili ndani ya ukumbi
Pamoja na mpambe wake, wamependeza kupita kawaida.Vanessa ktk pozi

Wazazi wa Halima/Vanessa


Shukurani.
"Napenda kuwashukuru wazazi wangu kwa kunitunza hata sasa nakwenda kunza maisha na Mume wangu mpendwa. Asanteni wooooote mliohudhuria."










Monday, October 6, 2008

SIKU ILIYO FANA SANA YA DADA SARAH KUMALIZA MASOMO YAKE YA CPA. Tar 3/Oct 2008

Sara pamoja na wenzake wakitembea kabla ya kupewa vyeti mapema Tar 4. oct. 08
Sarah na wenzake
wote hawa waligraduate

Baadhi ya Watoa zawadi wakionekana wakimsikiliza Mgeni rasmi