Tafuta/Search This Blog

Tuesday, October 21, 2008

Mtoto mzuri wa Fredy & Tamarah aitwaye Fiona

Huyu ni Fiona F Kashsushura. Shalom Broz Productions ilipoipata picha ya Mtoto huyu tumeona tuwatangazie wadau kuwa Kaka Fredy alipata Mtoto Bomba kama unavyoweza Kuona hapa. Nimeamini , ukitaka Mtoto BOMBA kama Fiona oa Mke Bomba. Hongera Fredy na Tamarah

Monday, October 20, 2008

Graduation ya Enson....


Sisi Shalom Broz tunayo furaha isiyo kifani kwani tunaendelea kuziona baraka za Mungu kwetu kila siku.

Mungu ameonekana kwa Mwenzetu Enson (Eneza) ambae ni mmoja kati ya wamiliki wa Shalom Broz Productions. Baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye alihitimu masomo yake Digrii ya kwanza ya sheria (bachelor of Law) pale Open University of Tanzania na hivyo siku ya jumamosi Tar 25/10/2008 ni graduation yake.

Tunaomba kukukaribisha kwa moyo woote kabisa ufike bila kukosa pale Kinondoni (makao makuu Ya Open University of Tanzania) ili kushuhudia Kijana akivaa joho na kuanza kuvaa majukumu ya uanasheria!!

Karibu ufurahi pamoja nasi!!

Tunakutakia mafanikio katika ujenzi wa Taifa letu.

Friday, October 17, 2008

Comparison

We wouldn't enjoy the sunshine If we never had the rain.

We wouldn't appreciate good health If we never experienced pain.
If we never shed a teardrop And always wore a smile,

We'd all get tired of laughing After we had grinned awhile.


Everything is by comparison ...Both the bitter and the sweet,And it takes a bit of both of them To make our lives complete.
*
**
***
****
*****
**
**
**

Thursday, October 16, 2008

Elias, mwandishi wa habari!!


Kwa niaba ya SBP tunatoa pongezi zetu za dhati kwa Elias a.k.a baba Uhu kwa kupata kazi mpya ya uandishi wa habari kutoka katika ile kazi ya mwanzo ambayo sitaitaja hapa kwa sababu za kiusalama.
Tunaamini kwamba huo ni mtoko wa nguvu na tunakutakia mafanikio katika maisha yako yoote. Tafadhali usitusahau katika ufalme wako!!

Wednesday, October 15, 2008

Mlima Meru


Huu ndio mlima Meru. Mlima wa pili kwa urefu Tanzania kutoka Mlima Kilimanjaro. Hii picha imepigwa na dada yetu wa Kiafrika, Firiana. Mlima huu wakati mwingine huonekana na theluji hasa nyakati za asubuhi au baada ya mvua.


Asante sana mdau wetu, Mwafrica halisi. Wadada wengine mpo??? Tumeni picha za interest zenu!

Friday, October 10, 2008

Suprise!!

Basi nimekuta keki ya suprise hapa ofisini kwangu!! Yaani ni noma. Nilipata nafasi ya kuwalisha baadhi ya wafanyakazi wenzangu. Kumbe na Martin mfanyakazi mwenzangu amezaliwa tarehe kama ya kwangu.
ze kekii


Bonge la keki kwa ajili ya Hussein


....Kutoka kwa Martin!


Habari ndio Hiyoooo!!

Wednesday, October 8, 2008

Hepi Besdei tu miiiiii!!!

Kutoka hapo......




Hadi hapa!!(picha ya jana tu)
Wapendwa,
Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa wema na fadhili zake nyingi sana katika maisha yangu kwani tarehe kama ya leo miaka mingi iliyopita, siku ya Jumatano, katika nyumba ya Mr & Mrs Gordon Lwendo nilizaliwa!
Nikiwa ni mtoto wa pili katika familia hii na kaka mkubwa kwa kweli sina budi kumshukuru Mungu kwajili ya familia yangu. Baba na mama wamenilea katika misingi mizuri na ninajisikia vizuri kwamba nilizaliwa katika familia yao...Nawafeel sana!!
Ndugu zangu, Esther na Joshua wamekuwa marafiki wa karibu sana nami kiasi kwamba ninamiss sana kuwa karibu nao. You are part of my life.
Sitaweza kuacha kumshukuru Mungu kwa ajili ya Enson ambaye amekuwa zaidi ya kaka na rafiki kwangu. I love you Enson with all my heart, najua kuna siku Mungu atatupa nafasi ya kupiga hatua kuubwa sana kama ilivyo mipango yetu!! together we will make it!
Mattie, you are my other half and i cherish being your other half!
Natamani nimtaje kila mtu kwani kila mtu ana nafasi kubwa kwangu lakini nafasi na Muda ndio haviruhusu.
Lakini kuna mtu mmoja wa muhimu sana nilitaka kumsahau.... naye ni wewe uliyefungua ukurasa huu. Mungu akubariki sana kwa kutufuatilia na kutoa muda wako kwa ajili ya SBP.
Nawapenda sanaaaa. All my love to you!!

Dina ya kampuni!! (Inahitaji uvumilivu)

Siku ya tarehe 7 OCT ilikuwa siku ya dinner kwa kampuni ya kaka G. Yaani kulikuwa na mambo mengi mazuri na haya ni machache...


Manager na Accountant


Pozi la kusubiria!! Kaka G na Hussein.


Pozi jingine!! Conrad(Mjomba wa watoto) na Martin


Mambo ya Dessert haya. Najua wengi hamjawahi onja hii !!!!!!



Uchunguzi wa nguvu ilipasa ufanyike!!

Shukrani kwa Kilimanjaro Aviation Logistics Center LTD.

Kama ilivyo Ada, sisi vijana huwa tunamtegemeza Mchungaji wetu.

Washauri wa idara ya vijana CAs wakimpa zawadi Mama Mchungaji Lwendo kwa niaba ya Mchungaji.