Tafuta/Search This Blog

Wednesday, September 23, 2009

Ujenzi umeanza wa CALVARY TEMPLE DEVELOPMENT COMPLEX





Nondo ndio hizo zimeshatokeza zege linakaribia kumiminwa na msingi ndio unaanza taratibu namna hiyo.
SBP ipo karibu sana na eneo la ujenzi na tutaendelea kuwaletea picha na habari za maendeleo ya ujenzi huu.


Mambo ya walimwengu...

A 12-year-old boy in southern England returned to school as a girl after summer holidays. The boy, who has now had his name changed to a girl's, arrived at school in a dress. Teachers had to call an emergency assembly to explain the massive change to confused pupils and tell them they must now treat the child as a girl."We are committed to ensuring the best for our child. We are working with other agencies to ensure our child's welfare is protected," his mother told The Sun.

But other parents reacted angrily and said the head teacher should have warned them before the school's announcement to their children."They behaved appallingly by throwing this hand grenade into the room and then leaving the inevitable questions about it for unprepared parents,' one mother said."Maybe we could have explained sexual politics and encouraged our kids to be more sensitive if we''d had a chance to be involved."
Another parent of a girl child said: "She told me the pupil is already a target for bullying."And what has really upset the parents is that the school didn''t see fit to send us a letter first so we could explain it to our children in our own way."

The transgender boy's mother said that all things possible is being done for the welfare of the kid. She said: "We are committed to ensuring the very best for our child. We are working with other agencies to ensure our child''s welfare is protected."The boy, who has for years told his friends he wants to be a girl, could now become the world's youngest sex change patient.After taking the decision to return to school as a girl, he is preparing for hormone treatment and ultimately surgery.

Under UK law, this cannot happen until he has passed puberty.German Kim Petras became the world's youngest transsexual at 16 earlier this year, changing her name from Tim.

The World's most complicated railway line

Inspite being the most complicated railway network, we never hear about any accidents in Frunkfurt Germany.
Linaganisha nia TRL yetu ya Bongo uone.

Sowers Group ndani ya Calvary Temple!


Hawa ndugu wako na kitu kikubwa sana na Mungu aliwatumia sana walipokuja kuabudu nasi Calvary Temple jumapili iliyopita.


Mike pamoja na mkewe. Sikufahamu kama hawa ni wanandoa!!

Oswald, worship him brother!!


Kelvin, the mighty bassist. keep it up brother!

Felis the drummer!


It was such a blessing moment na hawa ndugu as they lead us into praise and worship and giving us the testimonies about their lives and encouraging us to give for the needy!

God bless you Sowers Group!













Monday, September 21, 2009

FARAJA SEMINARY

Weekend hii iliyopita SBP ilitembea shule ya upili ya Faraja. Na hapa ni baadhi ya picha za huko...


Bango la shule kutoka hapa mpaka shuleni ni kama 1km.


Njiani


Ndani ya shule, miti kibao...



Watoto wakiwa chini ya miti wakijisomea!



Katika madarasa,










Jikoni




Wapishi wakiandaa misosi!





Wanafunzi, wako smart!!




Ukumbi mpya wa chakula (DH) katika matengenezo.





Kwa ndani.






Upande wa miradi, bustani ya mboga na mabanda ya kuku mayai.




Mayai tayari kwa kwenda kwa wateja.





Domitory









Wanafunzi dukani
Kwa kweli tunapenda kuupongeza uongozi wa shule hii na chama cha wanawake wa kanisa la TAG ambao ndio wamiliki wa shule hii kwa mikakati na maendeleo ya seminary hii.
Shukrani za pekee ziwafikie wafuatao: Mwalimu Maggie Seuya, Dada Josephine, Kaka Asagwile, kaka Elias, kaka Martin, waalimu wote na wafanyakazi wote wa shule.

Kona Mwanama..


Kwa wale watu wa A town na wale wapenzi wa mji huu pia...

Tuesday, September 15, 2009

Katuni ya ukweli sana!

Hii katuni ya Kipanya ni moja kati ya katuni zilizonifurahisha sana kabisa. Sijui viongozi wa serikali yetu huwa wanapitia hizi katuni?? Natamani wale jamaa wanaohusika na ubinafsishaji na mambo ya uwekezaji wangeiona hii katuni. Kama kweli baadhi ya wawekezaji ni washirikina basi waliologwa ni wao. SHAME ON THEM! Watu wanapewa dhamana ya kuisaidia nchi yetu maskini lakini kwa tamaa zao wanaingia mikataba mibovu... haya ndio matokeo yake. Natamani ningepata nafasi ya kuwa juu ya watu kama hawa hata kwa siku moja tu...nakwambia kusingekuwa na kesi, ni hukumu tuuuu... Mungu ibariki Tanzania, na tunakuomba usifumbie macho wale watu wenye tamaa, uwaadhirishe!!!



Friday, September 11, 2009

KIVULI KINAISHI

Picha hii nimeipenda sana, inanikumbusha niliposoma kitabu kimoja kinaitwa "Kivuli Kinaishi"

Wednesday, September 9, 2009

Usiku wa 29 Aug 2009 ilikua B'day ya 60 ya Anti yetu Dora S Temba

Samwel Temba na Mkewe Dora siku ya Birthday ya 60
Anti Dora ktk Pozi


Familia nzima ukiacha Mkuu wa kaya Eliya ambaye yupo Australia, Hareheni, Jane, Flecha na Mrs Shogholo