Tafuta/Search This Blog

Wednesday, August 21, 2013

MAGAZETI YA LEO JTANO 21 August 2013

DSC 0001 5fba2

DSC 0002 b5ca6
DSC 0003 61900
DSC 0004 94fa3
DSC 0005 bc6a2

DSC 0006 1be9f
DSC 0008 fc9c5
DSC 0009 e7ea5

DSC 0011 d52ee
DSC 0012 b69ea
DSC 0013 edc6f
DSC 0014 560d6
DSC 0015 e5794
DSC 0016 4134f

Kwa hii Singida - Arusha road,Serikali inapaswa kupongezwa!





SBP inaipongeza sana serikali kwa hii barabara ya Singida to Arusha. Barabara ni pana na alama zote za kumuongoza au kumuonya dereva zipo sawa. Tunaipongeza sana serikali kwa kutumia vyema misaada na kodi zetu kwa kuijenga vyema hii barabara.

Allen Mmbaga na Sophia Mgasa, wamemeremeta!


Yametimia! Kijana wetu Allen Mmbaga hatimaye ametimiza lengo lake la kumuoa mchumba wake na rafiki yake wa siku nyingi Sophia Mgasa. Ndoa yao ilifungwa siku ya jumapili tarehe 11 August 2013 katika kanisa la TAG Kigogo Dar Es Salaam.  Mchungaji Titus Mkama ndiye aliyeongoza ibada hii iliyoshuhudiwa pia na wazazi wa pande zote mbili.

SBP ilikuwepo kwenye eneo la tukio na hizi ni baadhi ya picha za siku hiyo.
Dada Sophia tayari kwenda kukabidhiwa...
Sophia na Matron wake, Matilda

Vijana wakimsikiliza mchungaji Titus Mkama kwa makini sana.

Vijana wakipokea maombi makubwa kutoka kwa wachungaji.

Presenting Mr and Mrs Allen & Sophia Mmbaga na wasindikizaji wao Mr and Mrs Lwendo.

Smiles za uhakika.

Neema, wifi wa Sophia.

wazazi na vijana wao.

Couples


Wadadazz

Wakaka

Kama inavyoonekana



Vijana baada ya arusi wakiwa kwenye mapuziko ya fungate/honeymoon.

misosi.


SBP inawatakia maisha mema na marefu ndugu zetu hawa.

Monday, August 5, 2013

MacBook?

Keep dreaming bro!!
Nimekutana na hii picha kwenye mtandao nikaifurahia sana.

Saturday, July 27, 2013

Shule ya msingi Bugungumuki...





Shule tulizosoma sisi wananchi wa kawaida kabisa. Nimeikuta shule hii maeneo ya Ibanda, Mwanza. Ikanikumbusha mbali sana, wakati tukipaka mawe ya shule chokaa ili shule ipendeze.

Ila jina la hii shule ukilirudia mara tatu au nne lazima utapaliwa tu! Bugungumuki!!

Thursday, July 25, 2013

Our Gratian is 2 years old!!

Tunapenda kumshukuru Mungu kwamba kijana wetu Gratian amefikisha miaka miwili sasa. He is very active, running over all the house and trying each and everything infront of him. Here are some pictures...
Mr Gratian!

Serious "him" on the serious business. He will be blogging very soon.



Like father like son. Musician.
Baba na Mwana time.



Mama na Mwana time.

Some crazie moments.

Are you with meee!!!

I want to be like dadie!

Wednesday, July 17, 2013

Magazeti ya Leo 17/07/2013





Karibu na Kesho.....

RAIS MUGABE ATOA TAMKO JUU YA MASHOGA NA WASAGAJI NCHINI MWAKE ADAI LAZIMA WAZALIANE LASIVYO MBARONI

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe ametoa kali ya mwaka kwa kuwachimba mkwara Mashoga na Wasagaji kwamba wasipotiana mimba ni lazima atawafunga jela.


Mugabe ametoa kali hiyo Ijumaa wakati akizindua kampeni za chama chake cha Zanu PF huko Zimbabwe.

Thursday, June 13, 2013

Whenever i have a Problem...


Tumempata Grace E. Msuya!!


Hatimaye kwenye familia ya mmoja kati ya wakurugenzi wa SBP, ndugu Enson pamezaliwa binti mwanana ambaye amepewa jina la Grace(pichani). Grace alizaliwa tarehe 5 May Dar Es Salaam akiwa ni mtoto wa kwanza katika familia hii. Mama wa mtoto, dada Rest pamoja mtoto mwenyewe wako salama kabisa.

Pongezi nyingi kutoka SBP.