Tafuta/Search This Blog

Tuesday, October 30, 2012

BARNABAS MINJA "BARII" NA DELPHINA SASA NI MWILI MMOJA

vijana wakijimwayamwaya...


Barii kwa aibu....!

Mr & Mrs Minja in 3D!
Hatimaye kijana wetu sasa amekuwa mkubwa na amempata mwenzake wa kuspend maisha! Arusi ilifungwa huko Moshi Tanzania na kushuhudiwa na wazazi pamoja na marafiki lakini pia kutakuwa na sherehe ya kumkaribisha "mwali" katika jiji la Mwanza siku chache zijazo.

SBP tunawatakia vijana wetu maisha mema na marefu ya ndoa.

**Picha kwa hisani ya kaka Stanley Joseph.

Saturday, October 20, 2012

Mazishi ya babu yetu mzee Daudi Lwendo, terehe 13 October 2012.

Babu yetu mzee Daudi Lwendo alifariki  usiku wa tarehe 10 oktoba 2012 nyumbani wake Igawa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya baada ya kuugua. alifariki akiwa ameishi miaka 98! Tulimshukuru Mungu kwa maisha yake na kupata nafasi ya kusherehekea maisha yake na kumlaza kaburini siku ya jumamosi tarehe 13 Oktoba hukohuko Igawa.
Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo.

Kwa mara ya mwisho tunamuaga.


Mavumbini ulitoka na mavumbini utarudi.


Bibi Judith akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu mume wake.

Mama yetu akiweka shada la maua kwenye kaburi la mkwe wake.

Hapa ndipo tulipoulaza mwili wa babu yetu.



Ndugu katika kaburi 

Old friends! kaka Gee na rafiki yake ambaye pia ni babu yake mzee Mazengo.
Heri wafu wafao katika Bwana.
Tunaendelea kumshukuru Mungu kwa maisha ya Babu yetu!

Thursday, October 18, 2012

Tanzania ninayoijua mimi ni nzuri!!

Mbarali karibu na makao makuu ya wilaya ya mbarali. Kwa mbali inaonekana mwanzo ya milima ya Udzungwa.

Mto Mbarali, maeneo ya Igawa.

Shamba la miti la Sao Hill maeneo ya Mafinga.
Maeneo ya mwanzo wa mlima Kitonga, Iringa.
Mimi bado ninaamini hii ni nchi nzuri sana. Je unaamini pamoja nami?? Please do.

Thursday, September 27, 2012

Friday, September 14, 2012

Emmanuel Na Anna wameremeta

 Nakupena Anna
 Nakupenda Emmanuel
 Pokea pete hii
 Wapigaji kbaoooooooo!
 Libeneke la kukata kwa chain saw

Wazamiaji hawakosagi

Loveness Costantine aongeza miaka duniani.

 Cake taaaamu
 Loveness na mpambe wake Shamma
 Pozi la pinda shingo
Baba na mama wapongeza mtoto kukuwa. wameahidi kufuga mbwa pale home kwao

Friday, September 7, 2012

Kazi na dawa.

Afande akipigwa picha akiwa katika lindo lake. Unakumbuka  wapiga picha kama hawa? walikuwa na baskeli zenye marembo mengi na kabegi flani na walikuwa na mitindo lukuki ya kujikunja wakati wa kupiga picha.

Fundi asiye na ujuzi...

...Hulaumu vyombo vyake. VETA Mwanza.

Hii nilikuwa sijawahi kuisikia...

Christian Science Society! Nimekutana nayo wiki hii maeneo ya Nyakato Mwanza. Wenyeji wameniambia hili ni kanisa. Mimi nimetafsiri kwamba ni Jamii ya Kisayansi ya Kikristo. Naona sasa ni imani In the next level!!


Wednesday, September 5, 2012

SOMA NJE YA NCHI


 Dasprom Tanzania pamoja na Dort Africa Company LTD  wanawaletea Utaratibu Mzuri kwa WENYE NDOTO ZA KUSOMA NJE YA NCHI. Masomo kwa bei nafuu kumwezesha Mtanzania wa kipato hadi cha chini kumudu gharama.. Ni katika nchi za USA, Australia, UK nchi za Kiscandnavia na Ukraine, Wale waliofaulu elimu ya Sekondari form 4 na form 6  na wanataka kujiunga na digrii ya kwanza, au wale wa Vyuo kwa kujiunga na  Master degree tafadhali tembelea mtandao wetu www.overseastudies.info au piga simu lucas  0713538820 na 0754871147...Eneza 0784494906 .na 0718817706 au barua pepe.. dsm@europe.com  lucasmathw@yahoo.com . Skype Wahi kupata nafasi hii.
Ofisi zetu zipo Mnazi Mmoja Jengo la Ushirika Ghorofa ya  7 chumba namba  710 na 711
Tufikie kwa jinsi unayoona ni rahisi zaidi kwako.