This is a production house where you will meet talented young men producing Video and graphic designing! SBP ina wataalamu wafuatao: Enson Msuya - Video and imagery specialist, marketing. Godlove Lwendo - Graphic Designer. You can contact us by these numbers, +255 784 494906, +255 756 025428 We will be more than ready to serve you for any of the service you will need from us as we have described them thereup.
Tafuta/Search This Blog
Wednesday, October 30, 2013
Monday, October 28, 2013
KONGAMANO KUBWA LA UAMSHO NA MAOMBEZI
Hatimaye Papaa Samuel Sasali a.k.a the Blogger ameoa!
![]() |
| Mambo haya yasingekosekana asilani!! |
![]() |
| Ukweliii1 |
![]() |
| Hii picha muhimu sana! Nahisi Papaa alikuwa anamkabidhi rafiki yake Prosper Kijiti na kuweka msisitizo! |
![]() |
| Mr&Mrs Sasali wakisindikizwa na Mr&Mrs Mndeme. |
Picha zote zimetolewa Facebook page ya MC LUVANDA
Sunday, October 27, 2013
Sikiliza kuhusu daktari aliyejitolea maisha kuokoa wahanga wa ubakaji!
Denis Mukwege, daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake kwa zaidi ya takribani miaka 15 amejitolea maisha yake kuokoa wahanga wa ubakaji huko mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC. Akihudumia kwenye hospitali ya Panzi huko Bukavu, hospitali aliyoianzisha mwaka 1993, Dkt. Mukwege na wenzake wametoa usaidizi wa kitabibu kwa maelfu ya wanawake waliokumbwa na wanaoendelea kukumbwa na madhila ya ubakaji. Katika makala hii, Joseph Msami alipata fursa kuzungumza na Dokta Mukwege ambaye alifika makao makuu ya Umoja wa Mataifa kwa mazungumzo na Katibu Mkuu Ban Ki-Moon. Katika mazunguzo na Msami, Dokta Mukwege walijadili mengi ikiwemo alivyonusurika kuuawa mwaka mmoja uliopita.
Monday, October 21, 2013
MILIKI KIWANJA CHAKO POPOTE TANZANIA. KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM VIWANJA MAENEO YA KIGAMBONI, CHANIKA NK
![]() |
| UTAPATA ENEO LILILOPIMWA USIBUGHUDHIWE NA MTU YEYOTE. MAENEO NI MAKUBWA NA MSAADA WA KUPATA RIGHT OF OCCUPANCY UTATOLEWA KWA WATEJA WETU. |
![]() |
| TUNA HAKIKISHA VIPIMO |
Friday, October 18, 2013
JIWE KUU - Mwanza.
![]() |
| What a wonderful scene!! I have never seen a rock as big as this! |
![]() |
| Huu mjiwe ni balaa |
![]() |
| Eneo la Mihama linaonekana kwa chini. |
![]() |
| JIwe kuu! |
![]() |
| Mr &Mrs Lwendo above the JIwe kuu. |
Umeshawahi kusikia kuhusu Jiwe kuu?? Jiwe kuu ni mwamba mkubwa sana uliopo maeneo ya Bwiru Mwanza. Hili jiwe ni kubwa sana limetapakaa katika eneo kubwa lipo juu sana. Leo nilipata nafasi ya kutembelea huko na kuliona jiwe hili maarufu. Nadhani hii ni sababu nyingine ya hili jiji kuitwa Jiji la miamba. Kama serikali kupitia wizara ya utalii wangetumia fursa, hii nieneo jingine la ukweli sana. Shukrani Kwa GLTI.
Thursday, October 17, 2013
Taarifa ya habari ya radio UM-16th October 2013
Wapendwa, Tafadhali bofya link hapo chini kwa taarifa ya habari.
HABARI
Habari zaidi nenda Radio.un.org/sw
HABARI
Habari zaidi nenda Radio.un.org/sw
Tuesday, October 15, 2013
Mwalimu Nyerere miaka 14 baada ya kifo chake, fikra zake zazidi kuchanua
Julius Nyerere, Jabali wa Afrika- Mitizamo toka Arusha hadi Obama, kitabu kilichoandikwa kwa pamoja na Profesa Ali Mazrui na Profesa Linda Mhando. Je nini hasa lengo la kuandika kitabu hiki? Flora Nducha na Assumpta Massoi wa Radio ya Umoja wa Mataifa walipata fursa ya kuzungumza na Profesa Mazrui ambaye alikuwepo katika siku maalum ya kumuenzi Mwalimu Nyerere,mjini New York. Kwanza Profesa Mazrui anazungumzia kilichomtia hamasa
Monday, October 14, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)


















