Baba akisaidiwa kuwekewa ua kwenye suti yake na mwenyekiti wa kamati huku baba mdogo Sadock akichungulia...
Pastor and Mrs Lukandu from Shianda, Kenya nao walikuwepo.
Joshua (TangiJ) aliweza kuazima koti na kutokea kisasa kwenye siku hiyo.
Huyu wa mwisho hapa ndio UHU!! Alipiga suti kali kama anavyoonekana. Huyu ndio mtoto wa kaka Elias!
No comments:
Post a Comment