Mimi nilipoongea naye kwa kweli alikuwa amejaa hekima nyingi na kwa kweli anazo qualities za uongozi. Wananchi ndio watako amua sisi SBP tunamtakia kila la kheri ili ndoto yake itimie siku moja na awe rais kijana wa Tanzania siku moja.
Pichani mheshimiwa Rais Godbless Lema akiwa na mheshimiwa waziri wa mambo ya nje, kaka Gee. Mambo ya mwaka 2021!!!!!!
Kama hutaki jifungie ofisini mwako usiondoke leo!!
1 comment:
Naitwa Magoma Jr Magoma ,
ninamfahamu Lema ni rafiki yangu toka utotoni ni mzalendo na mwenye maarifa ya kutosha sio tu kuwa rais wa Tanzania bali hata Africa nzima.
Ninakumbuka kwenye mkutano wake mmjoja wa siasa alipokata kumuombea kura mgombea wake kwa sababu tu hakuwa na sifa za kutosha na kuwaambia wananchi kwamba ni wakati wakuangalia sio tu rangi ya bendera bali tabia na uwezo wa mtu bila kujali chama chake.
Post a Comment