Baada ya kumngojea kwa muda wa kutosha, hatimaye kaka Tangi J amekuwa serious na suala la kuoa na leo katika kanisa la TAG kigogo amemvalisha pete ya uchumba Happy Sasali.
Zifuatazo ni baadhi ya picha katika tukio hilo ambazo tumezipata kwa hisani kubwa ya "kaka mtu" Samuel Sasali a.k.a Papaa Sebene.
Hii ni ishara kuwa hata watoto walifurahia tendo hili la kishujaa, Kwa karibu anaonekana Mtoto Mussa akifurahia na kumsindikiza TangiJ kupita mbele.
Hoi hoi na vifijo, sauti za wimbo maarufu "Wifi wifi huyoo wifi" zilitawala


Pongezi za papo kwa hapo. Mama Nyenyema akimpongeza TangiJ.
SBP tunampongeza sana kijana wetu na kumtakia maandalizi mema ya arusi. Tunatoa wito kwa huyu mmoja aliyebaki afanye Hima.
1 comment:
Hongera sana Joshua na Happy. Mungu awafanikishe ktk yote yajayo. Vita ipo jipeni moyo mtashinda.
Post a Comment