Nimetumiwa zawadi kutoka Kagera, nimeona ni vyema na wewe ukaziona.
![]() |
| Kwanza ni hii kitu. Sikuelewa ndani kuna nini maana hii packaging ilikuwa baab kubwa! Nikaweka chini na kufungua taratiibu na mara... |
![]() |
| Alafu na Senene! Mambo ya huko. na sasa ivi ndio msimu wake!!! |
Nawashukuru sana ndugu zangu na marafiki zangu Wanyambo wa Karagwe mkoani Kagera, na hasa dada Regina Kajara na familia yake.



No comments:
Post a Comment