Zifuatazo ni picha za tukio hilo kubwa...
Kwa pete hii, nakupokea wewe .....!!!
Mambo tayari! Kanyaga twende.
Pamoja na mashahidi wao, Mr&Mrs Mngodo.
Mzee wa kiwese kaka Elisha pamoja na mkewe dada Miriam...
Na hadithi imeishia hapo.
Timothy na Asumpta ni waajiriwa wa Compassion International (CIT) makao makuu.
SBP inawatakia maisha mema ya ndoa, Mungu awatangulie mpate watoto muwe na amani siku zote.
NB: Kwenu kaka Andrew Msegu na kaka Raphael Lyela... inueni macho juu maana mavuno yapo tayari!!
Siwezi kuchukiwa kwa kusema ukweli!!
No comments:
Post a Comment