Kama kawaida SBP kwa kuzingatia mchango wa familia hii katika maendeleo ya vijana ilitia timu katika sherehe za kumpongeza dada yetu zilizofanyika katika viwanja vya Hostel ya Uhuru, Moshi. Hizi ndio picha.
Oyee!!!! Mnaziona pete lakini??
Hongera mke wangu.
CHAWASHENDO(Chama cha wazamiaji wa sherehe ndogondogo) iliwakilishwa na katibu mwenezi wao, Tangi J!!
Hongera sana dada Joy, Hongera sana Eng. Simon na hongera sana mimi kwa kuhudhuria!!
No comments:
Post a Comment