
1

2

3

4
Wakati mwingi tunafanya mambo bila kujua upande wa pili wa jambo lenyewe. Tunakua kama huyo ndege asiyejua kusoma wala kuandika... lakini huyu aliyeandika habari za Global Warming haku-foresee.
Jenga Tabia ya kuona mbali, Ila hata kama utaweza kuona mbali huwezi kuzuia mambo kama ya picha 1
1 comment:
Great man!! Picha nzuri na ujumbe mzuri sanaaa!
Post a Comment