Tafuta/Search This Blog

Tuesday, March 15, 2011

Birthday ya Jonelle Happiness Joshua Lwendo 13-3-2011

Jonelle posing for the "cover picture"

Jonelle akimlisha cake mama yake, Happiness.

Baba na mwana. Baba mtu akimsaidia mwanawe kukata keki.


Hongera sana Jonelle pamoja na wazazi wako kwa kutimiza mwaka mmoja. Mungu aendelee kukutunza na uwe na afya tele na amani daima.

No comments: