Tafuta/Search This Blog

Tuesday, January 20, 2009

Picha zaidi za mazishi ya Fanuel Sedekia

Tumepata maombi ya wadau wengi ambao walipenda tuweke picha zaidi za matukio kutoka katika mazishi ya mtu wa Mungu Sedekia. Nami nawaletea hizi;






Baadhi ya wadau wa Muziki wa Injili wakimsindikiza kaka na rafiki yao.




Jeneza lililobeba Mwili wa ndugu yetu Sadekia.




Ni kama amelala.



Familia ya Marehemu.

Upendo Nkone alishindwa kabisa kujizuia...




Sura za majonzi na kutoamini!! Christine Shusho, Beatrice Muhone

Maua

Neno la Mungu!







Mwalimu Mwakasege pia alikuwepo!!







Mavumbini ulitoka na Mavumbini utarudi!





Mwakilishi wa Shalom Broz Arusha pia alikuwepo makaburini...macho!!

Wadau wa muziki wa Injili: Robert Ngowi, Mtumishi Tolla G na mwalimu Boniface Funyame wa Calvary temple.

Baada ya mazishi, chakula nyumbani kwa marehemu. Dada Asumpta na rafiki yake kutoka DPC.

Picha zoote ni kwa hisani ya mtumishi wa Mungu Tolla G wa Mfalme Music.

24 comments:

Unknown said...

MUNGU aiweke mahali pema pepon roho ya ndugu Fanuel AMEN

Unknown said...

I enjoyed his music! 'Katika Ibada' was the best! May God give peace to his family!

rozzie said...

He was asleep. He will wake up soon.May He rest in peace. He had finished His race. May the NAME of God be Glorified.

Unknown said...

Just bought his VCD manukato yesterday. When I watched the 4rd video n saw his own funeral.Learnt of his passing on just now.So unfortunate.Your album has blessed me and shall look for the rest. RIP

JO said...

Alikufa sijamuona live,,lakini wakati wote nikiangalia picha yake machozi hunitoka pasipo kikomo.

Unknown said...

Amina

Unknown said...

hakika uliifanya kazi ya Mungu na kwa uaminifu .RIP Father

Unknown said...

Just i always cry when playing his song ,,ni neema ya mkombozi...nimefanyika kuwa mwana na nimehesabiwa haki....Sedekia our love one,,,RIP man of God

Unknown said...

Brother and friend....fought a good fight and ran the race. I listen and meditate on the songs with my famiky.His impact is still fresh to us. God bless his entire family.

Unknown said...

Mungu hakosolewi,ingawa nitazamapo nyimbo zake huzuni hunipata.Paradiso tutaonana

Unknown said...

God Lord, Father not in command, but my prayer request. May you give good rest in paradise. Fanuel Zedekia.

Unknown said...

RIP Daniel. Your songs are a great inspiration and a blessing to me. I listen to them over and over and over.

Unknown said...

Jamani nikiona nyimbo zake namkumbuka sana na ninaumia sana

Anonymous said...

poleni sana family ya sedeki fanuel nilikupenda sana weye baba afu sasa nikiona pale ukonaimba jina la yesu na upendo ukiwa nacheka cheka sana baba mungu kweli akupokeye kbs kwakazi nzuri uliyo fanya rest in peace

Doctor said...

Oh my God.This was a painful time for the entire world. You served well Fanuel. Wewe ulitukuza kiroho kwa nyimbo zako.Tutaonana baadaye pumzika.

Marie said...

Fanuel's songs really uplifts my soul. Though away,he still uplifts many. Till we meet RIP Fanuel

Unknown said...

His songs are so touching

Unknown said...

Aliomba nyimbo ambazo hadi sasa zinainua na kutia moyo... Tutaonana siku moja

Unknown said...

You touches my until to date your gone but your existing in our heart your songs continue to mentor usfrom Kenya meru county imentisouth nkuene ward in mikumbune sublocation

Unknown said...

Futa machozi ni njia zetu zote

wanjalaabiud25@gmail.com said...

Rest in peace man of God.... you are a living legend... your songs are alive and inspirational to the generations to come

Anonymous said...

"Nitaimba hallelujah", wimbo ambao kamwe utanijenga milele.
Hakika wanadamu tunapanga ila mungu ndiye anayeamua.

@Mikaelkenya said...

Na kazi ya mungu ibarikiwe milele

Anonymous said...

Tutakukumbuka daima kazi ya Mungu haina makosa kifo hakina had ruma keel niliamin kwa sedekia