Tafuta/Search This Blog

Monday, June 29, 2009

Casual Sunday at Calvary Temple Arusha.

Kila mwaka kanisa la Calvary Temple linakuwa na jumapili moja tunayokuja kanisani kikawaida kabisa na kuwa na ushirika pamoja na hasa lengo likiwa pia kuwakaribisha marafiki na ndugu kanisani.

Jumapili ya tar 28 Jun ndio ilikuwa siku hii katika mwaka huu wa 2009.

Wapendwa katika ibada ya kwanza, kulikuwa na kabaridi!


We praised and danced before him!!

Kaka Jimmy leading the praise.


Tukamwabudu Mungu!

Tukamwimbia Mungu nyimbo za Shukrani!!
Teens wakidance

Then, kulikuwa na wakati wa kueleza yale mambo Mungu amefanya katika maisha yetu.
Dada Esther akishuhudia vile Mungu alivyomponya.
Nothing is impossible to Him!
Ndugu Minja akishuhudia vile Mungu alivyomtoa katika madeni makubwa na sasa ni mfanyabiashara aliyefanikiwa sana!!


Watu wengi walikubali kuyatoa maisha yao kwa Yesu!
Nadhani watu kama 30 hivi walirespond to the alter call!!
Then muda wa kushare kikombe na mkate ukafika.


sio music tu, hata kwenye misosi tumo!!


YESU NDANI YANGU AKUPENDA WEWE!!

Kaka Gee na Mchungaji W Kimaro after the 2nd Service.

Na mwisho kabisa

*

*

*

*

*

*

*

*

*

*

*

Kaka Gee alikuwa amevaa number 73... kumbe kuna huyu mdada naye alivaa number 72!! Ilibidi kuiibia hii picha!!

6 comments:

Anonymous said...

Vicheko, furaha na ushirika mwema pande zote. Kweli mahali ni pazuri ndugu wanapokaa, wakipatana vyema na wakipendana.
Picha ya mwisho imenifurahisha!

Anonymous said...

Glory to God.
Nina kaswali kaufahamu ndg yangu. Hapo kwenye Temple nimeona bendera kadhaa ila nimetamua yetu, Israel na USA hizo nyingine sijafahamu ni za nchi zipi. Kila bendera ya kila nchi ina maana gani ndani ya temple?

NAPENDA TU KUJIFUNZA.

REMAIN BLESSED

shalom broz productions said...

Mungu awabariki wapendwa kwa maoni yenu. Kuhusu bendera ndani ya Calvary Temple, Bendera ya Tanzania ni kwa sababu hapa ndio tulipo na hili ni kanisa hasa kwa ajili ya wa Tazania. Bendera ya USA ni kwa sababu Assemblies of God imeoriginate huko na pia America ndio taifa linaloongoza kwa kusupport injili duniani. Bendera ya Israel ni kwa sababu tunaamini katika baraka za Israel. Mungu alisema nitambariki atakaye libariki taifa hilo na nitamlaani atakaye lilaani taifa hilo. Sisi tumechagua upande wa kulibariki taifa la Israel. Na tunaamini kwamba sisi ni wazawa wa Ibrahim kwa imani. Pia kuna bendera ya Korea na hiyo ni kutokana na uhusiano wa kanisa letu na kanisa la Korea. Nadhani maswali yako nimeyajibu!!

Anonymous said...

Nashukuru kwa majibu mazuri. MUNGU AWABARIKI KWA HUDUMA YENU NJEMA. SHALOM MARANATHA.

Anonymous said...

Nashukuru kwa majibu mazuri. MUNGU AWABARIKI MNAPOENDELEA KUMTUMIKIA, AKIWAPA HEKIMA, UJUZI, MAARIFA , UFAHAMU NA NGUVU ZISHUKAZO TOKA KATIKA MOYO WA YESU MWENYEWE. I LOVE U ALL. SHALOM MARANATHA.

Anonymous said...

Nyc!!! G gud job!