Tafuta/Search This Blog

Monday, June 8, 2009

Rachel wa Kilimanjaro Aviation.

Rachel


binti akiwasili ukumbini





Massapa the accountant akiwa na mkewe, mama Gwamaka ukumbini


kaka Gee pia alikuwepo...


Rachel akipewa maneno ya hekima na mshehereshaji wa siku hiyo tayari kumruhusu kaka yake Frank mwenye suti nyeupe ili atoe kibali cha kukabidhiwa kwa mshenga anayeangalia kwa mbali.


Martin na Mary wakipokea cake Rachel aliyoitoa kwa ajili ya wafanyakazi wenzake wa Kilimanjaro Aviation Logistics center.

Martin akiwa na Keki ya kampuni
Wafanyakazi wa Kilimanjaro Aviation wakiwa katika picha ya pamoja na Rachel pamoja na wapambe wake.

Send off hii ya nguvu ilifanyika siku ya Alhamis tarehe 4 June 2009 na Arusi yake ilifanyika tarehe 06 June 2009. Ameolewa na kaka Meleckzedeck S. Kiwory ambaye pia alikuwa darasa moja na kaka Gee, Tanga Tech.

Picha kwa hisani ya kaka Hussein Qubah wa Kilimanjaro Aviation.

3 comments:

Maria said...

Kaka Gee kwa minuso?

Anonymous said...

Mwili unajengwa kwa minuso yahee!

BM said...

Lovely dovey namuona Juma, Manka, Conrad e.t.c wazee mnatisha kwa minuso. rachel hapa ndo habari yako ilipokwishia.