Tafuta/Search This Blog

Tuesday, June 30, 2009

Divine wa Robert na Mary!!

Nyumbani kwa Robert na Mary amezaliwa mtoto wa kike anyeitwa Divine.
Mtoto wa kwanza katika familia hii na ambaye alitabiriwa kwamba atazaliwa mtoto wa kike na kuombewa na watumishi wengi wa Mungu.

Binti Divine Robert

Mary na binti yake. yani ni kicheko tuu!!



Mama mtoto. Hili ni pozi la kusubiria Mtorii!!
Sisi SBP tunamtakia Divine maisha mema na ulinzi wa Mungu na pia tuna wapongeza wazazi wa Divine na tunamshukuru Mungu pamoja nao. Robert na Mary ni wadau wa karibu sana na SBP!

No comments: