Tafuta/Search This Blog

Saturday, April 30, 2011

Kiinglish Bwana....Nomaaaaa...



Bango hili lipo maeneo ya Mbaramo, mtaa wa Jembe njia panda ya kwenda Misozwe MUHEZA - Tanga. Nilifurahishwa na maneno ya chini kabisa "SELF CONTAINER ROOMS"

Wednesday, April 27, 2011

Sunday, April 24, 2011

Pasaka tukiwa Muheza kwa Mama Msuya

Maakuli tuliyaanza asubuhiiiiiiiiiiiii. Angalia hadi sura inabadilika kwa utamu..


Kwaya ilitumbuiza tukiwa kanisani. Philadephia Choir hiyo. Hata mimi niliwahi kuimbia hiyo kwaya. Nilifurahi kusikia wakiimba wimbo nilioutunga enzi hizoooooo


Rev. Martin Pyuza akishusha Gombo la Chuo....


Kwaya mpya ya Amani Katika kanisa la Tanzania Assemblies of Gog Philadephia Muheza mjini. Mama msuya anaimbia kwaya hii...


Mama Msuya akizirudi wakati wa Ibada ya siku ya Pasaka...


Baadae tulirudi home, Maza akaandaa maakuli upyaaaaaaaaaaaa....


Abigail James Andrew akifurahia Msosi wa home.



Elifadhili Msuya akiwa na Mchepenge wake baada ya kushiba misosi ya Pasaka


Thursday, April 21, 2011

Elikarim apata JIKO, awa mwili Mmoja na Faith

Elikarimu and Faith ktk pozi


Wamependeza. Baada ya kuunganishwa....


Tunapenda watoto..


" Msimamizi alinisaidia" Wachache sana husema maneno haya baada ya Arusi... Faith alisema hayo kwani dada huyu msimamizi alijituma kweli..


Itakua kazi yangu


Pozi la wanaumeeee



Mke mwema ni huyu aliyetoka kwa bwana..




KARIM NDANI YA SUTI...... Akiwa na mkewe Faith ktk Arusi yao tar 26 March 2011.

Warembo



Zawadi


Kaka mdoogo akiwa mbele



















































































Walipanda humu

Saturday, April 16, 2011

2011 EASTER CONFERENCE, HOUSTON TX

Pastor Charles and Catherine Abihudi are cordially inviting you to the 2011 dynamic Easter Conference.

“See I am doing a new thing...Now do you not perceive it?” Isa 43:19

This conference is designed to inspire, encourage, mentor and release you to reach out to your divine destiny.

Come and learn on how to become more than conqueror, how to tape into the richest mine ever in Christ Jesus, becoming contagious for the Kingdom of God and learn the myths of dating and courtship issues!

The conference will be from APRIL 22-24, 2011 in Houston, Texas.


Register now at http://www.wakati.net

Fees $65 /person (boarding & meals) before 2nd March 2011

Part time participants (without room & board) is $30 registration fee

For those who will request a private room, the cost will be $79 per nite.


Contacts:youthalive@yahoo.com or call the numbers below 4174230591 or 7136242445


Wednesday, April 6, 2011

Stanley Msuya awa Mume wa Jennifer Kessy

l

Stanley

Jennifer

Wamependea sana


Mama wazaa chema. Mama wa Stanley (Kushoto) na Mama wa Jenniifer (Kulia)

Nasaini Cheti


Oneni wenyewe. Tumekubali kuishi pamoja kama mume na Mke