This is a production house where you will meet talented young men producing Video and graphic designing!
SBP ina wataalamu wafuatao:
Enson Msuya - Video and imagery specialist, marketing.
Godlove Lwendo - Graphic Designer.
You can contact us by these numbers, +255 784 494906, +255 756 025428
We will be more than ready to serve you for any of the service you will need from us as we have described them thereup.
Tafuta/Search This Blog
Showing posts with label by Shalom Broz Productions (SBP). Show all posts
Showing posts with label by Shalom Broz Productions (SBP). Show all posts
Tanzania inatarajiwa kusajili
kiwango cha juu zaidi cha ukuaji wa uchumi wake mwaka huu katika kanda
ya Afrika Mashariki na kati.
Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika la fedha la kimataifa - IMF.
Katika
ripoti yake iliyotolewa hii leo Tanzania inatarajiwa kusajili kiwango
cha juu cha ukuaji wa uchumi wake wa asilimia 6.9% mwaka wa 2016.
Kasi hiyo ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania ni ya pili tu nyuma ya Ivory Coast baina ya mataifa ya Kusini mwa jangwa la Sahara .
Ivory Coast inatarajiwa kukuwa kwa kasi ya asilimia 8.5%.
Katika kanda ya Afrika Mashariki ,uchumi wa Kenya ndio wa pili kwa kasi ya ukuaji kwa asilimia 6%.
IMF
hata hivyo inasema kuwa kasi ya ukuaji wa uchumi kusini mwa jangwa la
Sahara unatarajiwa kupungua kwa mwaka wa pili mfululizo kutokana na
kudorora kwa viwango vya uzalishaji na hivyo uwekezaji.
Kwa mujibu wa shirika la fedha la kimataifa - IMF, eneo hilo linakadiria kushuka kwa ukuwaji wa uchumi kwa asilimia 3 mwaka huu.
Kiwango hicho ni cha chini kabisa kuwahi kushuhudiwa katika miaka 15. Mataifa yanayotegemea mapato yanayotokana na mafuta ndiyo yalioathirika zaidi kama vile Nigeria na Angola.
Aidha Zambia pia imeathirika vibaya kutokana na ukosefu wa soko la kimataifa la shaba yake.
Ripoti hiyo inaitaja Afrika Kusini kama moja ya mataifa ambayo kiwango chake cha ukuaji kimedorora kwa kiasi kikubwa mno.
Katika
orodha ya mataifa yanayotarajiwa kuwa na kiwango cha juu cha ukuaji
Kusini mwa jangwa la sahara Ivory Coast ndio inayoongoza. Orodha ya mataifa ya kanda ya Kusini mwa Jangwa la Sahara na viwango vya kasi ya ukuaji wa uchumi 2016.
Kati ya sehemu ambayo nadhani Jiji letu la Mwanza natamani sana lingeiangalia ni eneo la kuanzia daraja na Mto Mirongo hadi Nela ambalo mimi naona lingefaa sana kwa kustawishwa na kufanywa eneo la mapumziko na utalii. Eneo kama hili kule Zanzibar lilitengenezwa na kuwa eneo maarufu kwa mapumziko na chakula linaloitwa Forodhani. Hebu fikirieni kufanya kitu pale jamani badala ya kupaacha kuwa sehemu ya kilimo cha mboga mboga na ufugaji wa samaki.
Whether you like it or not but for sure God is the greatest artist ever! Wondering how he planned and orchestrated everything it is so amazing/
Enjoy these shots from Mwanza Tanzania;
Psalm 8:1
Lord, our Lord, how majestic is your name in all the earth!
You have set your glory in the heavens. 2 Through the praise of children and infants you have established a stronghold against your enemies, to silence the foe and the avenger. 3 When I consider your heavens, the work of your fingers, the moon and the stars, which you have set in place,