Tafuta/Search This Blog

Wednesday, July 20, 2016

Bwiru Girls Secondary School.


Kati ya shule za zamani sana hapa Tanzania lakini pia yenye mandhari ya kihalisi (Natural environment) pemebeni ya ziwa Victoria.

Nilikuwa sijawahi kufika hapa lakni nilipofika hivi karibuni nikaona hapa ni mahali pazuri sana, patulivu mno na mandhari ya kuvutia sana.

Haya mjikumbushe wale mliopitia hapa!



 






Bonus!

Hii nimeipenda sana.
Sun rays through trees at Bwiru Girls Sec. School.




No comments: